mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
-
- #61
Mtoe Mzee Mengi tumpumzishe,hao wengine nasikiaga tuUmewasahau vijana wafuatao kwa kukubalika na vijana wa kike na kisha kuungana nao:
1. Kapuya
2. Pius Ng'wandu
3. Mengi
nk.
Lema na Sugu vilikua vichwa vizuri sana, ila katika chama kisicho cha misingi imara ya uzalendoKama hawa hawapo
Bambo
Onyango
Sugu
Lema
Natoa shilingi
Sugu- na makeke yake bungeni lakini baada ya kushindwa ubungu hakutia neon ameahisi yeye na dada yake Tulia watashirikiana kuleta maendeleo jimboni kwao amenifurahisha sana
Mkuu kwamba Samata,Diamond,Nape,January,Zitto,Mdee na Mnyika ni wazee?Sasa hao mbona sio vijana.
Hao ni wazee kabisa labda ni wale wazee wasiotaka kuzeeka.
Mkuu kwamba Samata,Diamond,Nape,January,Zitto,Mdee na Mnyika ni wazee?Sasa hao mbona sio vijana.
Hao ni wazee kabisa labda ni wale wazee wasiotaka kuzeeka.
Hahahahahaaaaa! yatakukuta mambo mkuuUjana au uzee wa Polepole unahitaji mjadala wa kitaifa