Hawa ndio wachezaji 10 bora wa soka duniani wa muda wote

W/C sio kigezo kamanda wangu...hata akina mbappe, Giroud, Pogba,Griezman na kante wanayo pia.

Alafu sio yeye ndie kaipatia kikombe, ile ilikuwa ni team work kwa ujumla...

Yani we jamaa nakushangaaga nakucheka kisha natema mate kwa masikitiko!!
Jinsi unavo mshupaliaga Messi mishipa ya makalio inakusimama utadhani ni mumeo umemzalia watoto wapacha!!
 
Yani we jamaa nakushangaaga nakucheka kisha natema mate kwa masikitiko!!
Jinsi unavo mshupaliaga Messi mishipa ya makalio inakusimama utadhani ni mumeo umemzalia watoto wapacha!!

kurlzawa njoo huku, Padri Mcharo ameingia anga za wanaume
 
Messi ndiyo mfugaji bora wa muda wote wa Argentina unataka afanye nn zaidi
 
List yoyote ya wachezaji bora inayomjumuisha CR7 ndani yake mimi huwa siitambui kabisa.

Kampita vipi Zidane na mtu kama Gaucho wakati kazi yake kuibia tu. Basi wengiwekwa na kina Gard Muller
 
asante fundi....kigezo cha kutokuhama timu ni sawa nakusema "alininipga a kwakua alivaa viatu"..huyo pele kaka santos miaka 18 katka ubora wake na alihama alipokua keshapungua ubora..sasa jitu linakuja kusema ooh messi kwakua hajahama club..apewe baloon d or mara tano af mtu atoke kishumundu aje kukosoa messi...hahaaaaaa....ballon de or ya 6 anapita nayo kama kipangaa
 
waulize ecuador walifanywa nini na messi
 
Soma mfungaji bora wa Argentina muda wote we kiazi sio unaleta ubishi wa kijiweni
 
Inafurahisha sana eti ronaldo wa ureno yupo top ten
Sijui nani alichagua hiyo list
List yoyote ya wachezaji bora inayomjumuisha CR7 ndani yake mimi huwa siitambui kabisa.

Kampita vipi Zidane na mtu kama Gaucho wakati kazi yake kuibia tu. Basi wengiwekwa na kina Gard Muller
 
List fake hiyo...hamna hata mmoja kutoka kigoma!
 
Goli 60 chache sana kwake, sema 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…