zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Duh yaani Ronaldo ni zaidi ya Gwiji Ferenc Puskas?? Sijui wametumia vigezo gani maana haya ni zaidi ya masihara!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh yaani Ronaldo ni zaidi ya Gwiji Ferenc Puskas?? Sijui wametumia vigezo gani maana haya ni zaidi ya masihara!!
W/C sio kigezo kamanda wangu...hata akina mbappe, Giroud, Pogba,Griezman na kante wanayo pia.
Alafu sio yeye ndie kaipatia kikombe, ile ilikuwa ni team work kwa ujumla...
Messi ndiyo mfugaji bora wa muda wote wa Argentina unataka afanye nn zaidiPunguza mihemko, Mifano ya kipumbavu ndo nini?.
Anyway, mpira unauchambua kirahisi sana boss. Kwanza maswali yako yote jibu ni Spain. Nikuulize kitu kingine kati ya Ajax na Madrid au Juve au man city timu ipi inacheza ligi bora?? Na je timu ipi imefika nusu Fainali?? Unamfahamu Nasri aliyewika sana Arsenal akashindwa kuwika man city?? Je kuhu Michael balack wa Bayern na shevshenko wa ac milan walivyokuwa wakali kwenye ligi zao na vilabu vyao na kushindwa kabisa kufanya maajabu kabisa EPL na Chelsea?. Vipi kuhusu Iago aspas forward aliyesumbua ligi ambayo wewe unaiita bora na kushindwa kabisa kuwika ligi unayoiita mbovu?? Unadhan kwanini?? Anyway labda hujanielewa, twende kwa Samuel eto'o ambaye alikuwa mwiba mkali sana Spain ambayo wewe unaiita ligi bora lakin alishindwa kuonesha ubora ule ule kwenye serie A ambayo unaiita ligi mbovu.. mchezaji bora sio ligi gani tu bali pia ni kufit kwenye mifumo tofauti tofauti kwenye sehemu tofauti tofaut, ule uwezo wa kucopy na kufanya vizuri kwenye mifumo mingi tofaut ndo ubora wenyewe.
Messi ana maajabu anapokuw na Barcelona tu kwasababu mfumo wa timu umemzunguka Yeye kwa muda mrefu, Messi anafunga magoli mpaka 50 la liga, lakin anashindwa kufunga magoli 5 World cup au Komba lile la Amerika kusini. Anafanya maajabu UEFA na LA LIGA na Muda wote huo yupo na Barcelona, Messi yule yule anashindwa kufanya maajabu anapokuwa nje ya Barcelona, unataka kuniambia Argentina hakuna wachezaji wazuri? Aguero, Higuin, Di maria n.k.. ni wabaya? Jibu ni kwamba mfumo wa Argentina haujajengwa kumzunguka Yeye tofauti na Barcelona ambao umejengwa kwa miaka mingi ukimzunguka Yeye.
Messi ni bora ndani ya Barcelona, anapokuwa nje ya mfumo wa Barcelona ubora wake hauonekani,
Messi ameisaidia timu moja tu Duniani kuchukua makombe mengi, ni Barcelona tu. Japokuwa amecheza pia Argentina ila hana maajabu yoyote nje ya Barcelona.
Messi ambaye ndo mchezaji bora namba moja kwako, anaimbwa na kuheshimika ndani ya klabu moja tu, messi ni mfalme wa Barcelona lakin sio Argentina, wapo wachezaji ambao ni wafalme ndani ya klabu zao na mataifa yao, sifa ambayo messi hana.
MadridSpurs alimpiga nani nje ndani?
asante fundi....kigezo cha kutokuhama timu ni sawa nakusema "alininipga a kwakua alivaa viatu"..huyo pele kaka santos miaka 18 katka ubora wake na alihama alipokua keshapungua ubora..sasa jitu linakuja kusema ooh messi kwakua hajahama club..apewe baloon d or mara tano af mtu atoke kishumundu aje kukosoa messi...hahaaaaaa....ballon de or ya 6 anapita nayo kama kipangaaWe kijana unasoma na kuelewa?
Nimekutajia sababu za messi kutokuondoka spain we unaanza kunitajia sijui uchafu gani?
Nipe sababu za messi kuondoka spain na kwenda kwenye ligi dhaifu km uingereza na italy
Nitajie timu iliyochukua uefa ambayo haitoki spain ndani ya miaka saba
Mchezaji bora, mfungaji bora wote wametoka spain sasa aondoke hapo aende wapi?
Na msimu huu messi anachukua ufungaji bora na mchezaji bora wa uefa
Mfano hiyo ligi ya uingereza yenye mabeki wabovu messi akienda timu km man.city anaweza funga goli 60 kwa msimu
waulize ecuador walifanywa nini na messiPunguza mihemko, Mifano ya kipumbavu ndo nini?.
Anyway, mpira unauchambua kirahisi sana boss. Kwanza maswali yako yote jibu ni Spain. Nikuulize kitu kingine kati ya Ajax na Madrid au Juve au man city timu ipi inacheza ligi bora?? Na je timu ipi imefika nusu Fainali?? Unamfahamu Nasri aliyewika sana Arsenal akashindwa kuwika man city?? Je kuhu Michael balack wa Bayern na shevshenko wa ac milan walivyokuwa wakali kwenye ligi zao na vilabu vyao na kushindwa kabisa kufanya maajabu kabisa EPL na Chelsea?. Vipi kuhusu Iago aspas forward aliyesumbua ligi ambayo wewe unaiita bora na kushindwa kabisa kuwika ligi unayoiita mbovu?? Unadhan kwanini?? Anyway labda hujanielewa, twende kwa Samuel eto'o ambaye alikuwa mwiba mkali sana Spain ambayo wewe unaiita ligi bora lakin alishindwa kuonesha ubora ule ule kwenye serie A ambayo unaiita ligi mbovu.. mchezaji bora sio ligi gani tu bali pia ni kufit kwenye mifumo tofauti tofauti kwenye sehemu tofauti tofaut, ule uwezo wa kucopy na kufanya vizuri kwenye mifumo mingi tofaut ndo ubora wenyewe.
Messi ana maajabu anapokuw na Barcelona tu kwasababu mfumo wa timu umemzunguka Yeye kwa muda mrefu, Messi anafunga magoli mpaka 50 la liga, lakin anashindwa kufunga magoli 5 World cup au Komba lile la Amerika kusini. Anafanya maajabu UEFA na LA LIGA na Muda wote huo yupo na Barcelona, Messi yule yule anashindwa kufanya maajabu anapokuwa nje ya Barcelona, unataka kuniambia Argentina hakuna wachezaji wazuri? Aguero, Higuin, Di maria n.k.. ni wabaya? Jibu ni kwamba mfumo wa Argentina haujajengwa kumzunguka Yeye tofauti na Barcelona ambao umejengwa kwa miaka mingi ukimzunguka Yeye.
Messi ni bora ndani ya Barcelona, anapokuwa nje ya mfumo wa Barcelona ubora wake hauonekani,
Messi ameisaidia timu moja tu Duniani kuchukua makombe mengi, ni Barcelona tu. Japokuwa amecheza pia Argentina ila hana maajabu yoyote nje ya Barcelona.
Messi ambaye ndo mchezaji bora namba moja kwako, anaimbwa na kuheshimika ndani ya klabu moja tu, messi ni mfalme wa Barcelona lakin sio Argentina, wapo wachezaji ambao ni wafalme ndani ya klabu zao na mataifa yao, sifa ambayo messi hana.
Madrid
Punguza mihemko, Mifano ya kipumbavu ndo nini?.

List yoyote ya wachezaji bora inayomjumuisha CR7 ndani yake mimi huwa siitambui kabisa.
Kampita vipi Zidane na mtu kama Gaucho wakati kazi yake kuibia tu. Basi wengiwekwa na kina Gard Muller
Hujaelewa umekimbilia tu Google, content zote nilizoandika umeona hilo tu. Ok boss poaView attachment 1085439
Soma mfungaji bora wa Argentina muda wote we kiazi sio unaleta ubishi wa kijiweni
Pia, kwa kizazi hiki inasemekana Maradona alikuwa na quality za wachezaji wawili ndani ya mtu mmoja ambao ni Messi na RooneyWewe hujamuona kipindi Maradona anacheza mpira yani Mess hata robo hamfikii Maradona
We kijana unasoma na kuelewa?