Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Kifupi wadada wapo mbele masaa sita zaidi yako. Wanejua lengo lako.

Cha kukushauri punguza shobo na mademu, ndio maana katika comment 20 za kwanza hakuna hata mmoja alie komenti Kati ya hao ulio wataja.

Be a man ....punguza ikiwezekana acha shobo wanaume kama wewe ndio wanao shusha brand ya kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…