Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weequmaaatuu kamaqumazingine
Boss mmoja wapo sio mdada ila umemjumuisha kama mdada ktk list ako...usitake kujua zaidi..
Kifupi wadada wapo mbele masaa sita zaidi yako. Wanejua lengo lako.Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili. Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari. Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo:
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira (ya ukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
unatobwaaaaaaa shogafransisi wee
yule bimkubwa yuko poa sana,Nina siku kama mwaka hivi sijamuona humu
Haha! Bado hujasema..
Ahsante Mkabasia...Sijaona mwenye uzi akutaje. Binafsi naonaga mwandiko wako uko na busara pia plus snow white japo humu nyie hamchangii mara kwa mara.
Shukrani Rafiki [emoji2956][emoji2956]Cheers rafiki, unajua mimi nakukubali miaka buku [emoji28][emoji7] [emoji1635]
Amen Nakupenda Zaidi Babe [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Imagine hii love imetoka kwa mdada smart kama wewe, I am truly blessed..!! Nakupenda Sweetheart..!!
Shukrani mwanasimba mwenzangu, nyuzi za simba na yanga bila Comments zako huwa ni batili wallahi, much love sis [emoji847][emoji847]Thanx dear..nakukubali pia..na nina ku admire ulivyo mpole...huna papara...