Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nimekumbuka ule uzi ulimfunguliaMie huwa ananikosha sana Depal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka ule uzi ulimfunguliaMie huwa ananikosha sana Depal
ID nyingi popular hapa kwa makadirio ni miaka 23_ 30kila uzi unaohusu wanawake wa jf id ni zile zile tu kama za hapa lakini ukweli zipo id za kike hapa jf sio popular lakini wapo vizuri mno, hii cycle ya tags ni ile ile kila leo, and of day ni too generally.
Dada yangu yule bana.....Nimekumbuka ule uzi ulimfungulia
Si ndio wanaochangia daily ndio wanaonekanakila uzi unaohusu wanawake wa jf id ni zile zile tu kama za hapa lakini ukweli zipo id za kike hapa jf sio popular lakini wapo vizuri mno, hii cycle ya tags ni ile ile kila leo, and of day ni too generally.
Wanasema ,hujasema bado ...Dada yangu yule bana.....
Mimi ni shemeji yake kwangu
Ntakuwa na wazimu endapo nitapanic mkuu Mtibeli
Kumbe zinakuaga mbwembwe tu za kufurahisha jukwaa😂😂😂
Unaogopa vijana wa kataa Ndoa.
Hawana lolote wanajisemeshaga tuu. Maisha yanawachapa mpaka wanatema bungo
Kumbe zinakuaga mbwembwe tu za kufurahisha jukwaa
Umemuacha Depal hapo unajua au umeandika ukiwa umefungwa macho? 🤧14. Jaji Mfawidhi
15 Mamy K
16. Dadamtu
17. Lenie
18. Mama Amon
19. Mrs Besyige
20 mama D aka Mama kuhani Musa mwacha
Sawasawa 👊.. nitafanya hivyo kaka mkubwaUnawachukuliaga serious kwani?
Akija yeyote msikilize kisha njoo uombe muongozo kwangu. Hakuna atakayekusumbua
Tuendelee kusambaza upendo 🥰🤗🤗Hapo nawaona Leejay49, To yeye na Nifah. Hao wengine sijui kama ni members humu sijawahi kuona like zao kwangu, labda binti kiziwi namuonaona. Members wengine muda mwingi hawako active hatuwajui
Hata kama wanachangia kila siku, kwanza michango yao ipo kawaida mno.Si ndio wanaochangia daily ndio wanaonekana