Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

kila uzi unaohusu wanawake wa jf id ni zile zile tu kama za hapa lakini ukweli zipo id za kike hapa jf sio popular lakini wapo vizuri mno, hii cycle ya tags ni ile ile kila leo, and of day ni too generally.
ID nyingi popular hapa kwa makadirio ni miaka 23_ 30

tazama hata comment tu.
Nenda kaangalie nyuzi za mama Amon pale utakutana na wahenga. Na Hawapo active sana
 
Back
Top Bottom