Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #141
Ngoja na sisi tutakuja na list zetu hapa. Japo list yangu ipo hivi........!
Karibu Sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja na sisi tutakuja na list zetu hapa. Japo list yangu ipo hivi........!
🙏🙏🙏🙏🙏Mi kwa sababu ni wewe.
Wengine moyo wangu hauna simile.
Watakuambia hapa
😂😂😂😂😂nakupendaHumu mnajuana,wengine tukae kwa kutulia
Asante sana mkuu sema 🤕Hii mkuu ebu tumsubiri mzee wa kupiga mipira iliyokufa Mzee wa kupambania kama atashindwa amwachie mzabzab mzee wa offside
😀13.ni kipenzi Changu
Unique Flower
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww bibi yangu mwenzio afu unamuita dume?! Ebu mtake radhi
Haha..Karibu sana
Wewe unaonekana ni kapole sana mpaka nashindwa kukuzingua vilivyo.
Dear mtibeli wa watibeli, napokea maua yangu na mwaka unaisha vizuri sana. 🙏🏻
JF inatufundisha mengi mno, kuna baadhi ya mitazamo tunaipata kutoka humu ambayo inatusaidia kuifahamu dunia, na
mimi ni shabiki yako namba 5, ambaye nitasimama hata ukikaa! 😅
JF kama zilivyo jamii zingine tupo watu wa kila namna, tuvumiliane tulisongeshe.
Haya bwana Mtu Chake uje na list yako hapa mkuu🤣Hebu njoo na list yako ,naeza pata mwanga na mm nikaja na ya kwangu
Hahahaha,itakua hujaiona mkuuHaya bwana Mtu Chake uje na list yako hapa mkuu🤣
Haha..
Mimi siyo mpole Robert, ila pia siyo mkorofi..!!
Haha..
Mimi siyo mpole Robert, ila pia siyo mkorofi..!!
Hahahaha, Ahsante,Rafiki😂😂😂😂😂nakupenda
😂😂😂 Wewe ulimuona au uzushi tyuu!!Yule ni mwanaume tena Sheikh sijui kwanini anavaa uhusika wa mwanamke ila JF bhn [emoji23][emoji23]
Taikun umeanza kuchambua wadada?
Ndiyo hivyo umeshazungumza na ukajibiwa mkuuSizungumzii hicho mkuu
Una uhakika gani kama hao wote ni wanawake?
Robert Heriel Mtibeli A.K.A baba kimosso nimeona picha yako Facebook nimecomment je mtibeli wewe baba kimosso yule mwanao kimosso mnamiaka mingapi ile picha umeweka ya kitambo.