Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Dear mtibeli wa watibeli, napokea maua yangu na mwaka unaisha vizuri sana. 🙏🏻

JF inatufundisha mengi mno, kuna baadhi ya mitazamo tunaipata kutoka humu ambayo inatusaidia kuifahamu dunia, na
mimi ni shabiki yako namba 5, ambaye nitasimama hata ukikaa! 😅

JF kama zilivyo jamii zingine tupo watu wa kila namna, tuvumiliane tulisongeshe.

Karibu sana mkuu.

Kinachonivutia kwako ni kuwa hupendi Wanawake waonewe, hasa kimtazamo na maoni ya Watu kuwahusu ninyi. Hata hivyo hupendi kwa kutumia Facts na sio kutaka upendeleo.

Watu kama nyie mkinizingua huwaga nameza tuu fumba la mate kooni alafu najifanya kama sijaona.
Lakini siku ninywa zangu kisungura mtanikoma
 
Back
Top Bottom