Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sio mfia dini, bali namuamini Yesu aliye hai...
Kuna mwamba anaitwa Dr mariposa , anataka vidume tutoweke huwa namkubali sna [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
😁😁Huyo hapana kwangu.
Mpaka aokoke.
Miss chaga, miss natafuta ukhuty?
Mzima kakaHujambo lakini?
Hapa ndio utaona watu tumetofautiana kuanzia kufikiri hadi vile tunaishi.
Stupid is as stupid does
Mzima kaka
Kisungura 😂😂😂
Kutoa neno ndio furaha yangu...Naona unataka kumaliza mwaka kwa kutoa neno la Mungu. Vizuri
Kuna watu mnakazi hapa jukwaani,hadi ID za watu mmekariri abcd zao 😀Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Kuna watu mnakazi hapa jukwaani,hadi ID za watu mmekariri abcd zao 😀
Shwari kabisa😂Acha wivu kijana🤣🤣🤣🙌... Vipi lakini unaendeleje?
Na kweli😂Muaçhe mdogp wangu. Asije akalia bure
Vizuri kuskia hivyoShwari kabisa😂
Anawataka wengine ila tuliopo ndio sisiWapo kibao hata humu wapo. Ngoja niwatag
DR HAYA LAND Half american Wakili wa shetani mshamba_hachekwi
Sawa nakuja pm kukukaguaJike.
Kwani anayekutukana anakuchagulia tusi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani nawe ni furushi?