Bora huyo anabomoa kipande kidogo,unajua pesa anazoiiba mwigulu unajenga kilomita ngapi za lamiHawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Hiyo picha siyo ya kenya ww ndio hujuiHawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Chiembe,uhusiano wa hili na Utanzania au uvyama una kujaje hapa,ama matokeo ya uchawa ukilaza wa mtaa wakijani wewe unajua wanacho lalamikia iwapo tu wanyumbani kwako hujawaelewa?Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Hili tukio la S. Africa lilipostiwa 2020Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Nipe video maana miaka hii sio 1800Hapo ni Kenya
Ojwang alikamatwa kwa amri kutoka juuCHADEMA wanawasifia Wakenya Kwa mambo positive siyo negative
1.Uhuru wa Mahakama(Namna majaji wanavyopatikana,kutokuingiliwa Kwa mahakama na wanasiasa
2.Uhuru wa raia (Kuongea na kutoa maoni Kwa uhuru)
3.Uhuru & Haki katika mambo ya uchaguzi
4.Uhuru wa vyombo vya habari
5.Uhuru wa Jeshi la Polisi (Lisilopokea maagizo ya wanasiasa ovyo)
Kodi siwanalipa wao.Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392