Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Uongo iyo ni south Africa Tena kitambo.Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392