Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

Tuchukulie sawa hawajitambui kwa kuchimba barabara iliojengwa kwa pesa zilizotokana na kodi zao wenyewe, je hawa wa hapa kwetu wanaoteka, kutesa na kuua ndio unaona wanajitambua?
Mifano haifanani
 
Ushahidi kwamba sio Kenya..
Mstari wa katikati barabara za kenya (Centre line) ni wa njano.
Mistari ya pembeni ndio white.
South africa tuko nao sawa kwenye rangi za mistar barabani!

Hili msitudanganye mkatuona viazi!
Mtahangaika sana kukataa ukweli
 
Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Ukiwa CCM lazima uwe na akili za ukichaa flani...Majamaa huwa hayafanyi hata utafiti yakiambiwa mama ametukanwa yanakuteka yanakuua bila kuthibitisha, kweli hiyo ni picha ya jana au juzi, unaona hata ilivyofifia mwonekano sio ang'avu .Picha ipo kwenye Gallery za watu miaka mitano imepita sasa.
 
Acha uongo
 
Back
Top Bottom