Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Uongo iyo ni south Africa Tena kitambo.Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Kazi ya waajiriwa chawa au wakujitolea chawa wa kijani kusema uongo ni ukweli na ukweli ni uongo hiyo kawaida kwenu,hivyo kumwamini kijani ni sawa na kujenga imani kwa shetani.Acha urongo
UVCCM huwa hawana akili na ni waongo sanaIla watanzania bana. Mtu kaleta picha ya Africa Kusini halafu wote wanaingia kingi kwamba ni Kenya.
Sijui kama hapo ni kenya au siyo kenya ila naomba nikuulize na unijibu pia. Je umekaa chini ukawaza chanzo kilichosababisha hao vijana wakafanya hivyo ni kipi?Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Mboga mboga FCHawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Ni WAHUNI wachache ndiyo maana IGP alijiuzuruOjwang alikamatwa kwa amri kutoka juu
Wanaofikiri kwa mtazamo huo ni ccm tena nguvu kazi yenu uvccmWe watu wanaamini Lissu akiwa Rais wataishi maisha mazuri bila kufanya kazi unaona kichwani wako sawa?
Ndo maana Mwamposa hadi Leo anaendelea kunafaika na upuu wa Kondoo zakeIla watanzania bana. Mtu kaleta picha ya Africa Kusini halafu wote wanaingia kingi kwamba ni Kenya.
Acha urongo
Hawana Cha kujitambua chochote hao ni vijana wanaotumika na watu wenye maslahi au lengo fulani na nchi.
Anayejitambua hawezi kufanya huu upuuzi ambao pia utamgharimu yeye mwenyewe baadae kuurejesha
Ndio, ni Kenya
Wakenya ni wase..nge sanaHawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Chadomo wamechanganyikiwa wanaokoteza kila uchafuHawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Ushahidi kwamba sio Kenya..Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392
Tuchukulie sawa hawajitambui kwa kuchimba barabara iliojengwa kwa pesa zilizotokana na kodi zao wenyewe, je hawa wa hapa kwetu wanaoteka, kutesa na kuua ndio unaona wanajitambua?Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
View attachment 3398392