BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Kudanganya kwako ni beyond any udanganyifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutana na mimi wa kwanza! Sina gari ya kutembelea wala jumba kuuuuuubwa na sina kazi maalum1. Wote wana magari
2. Wote wana majumba yenye majina ya kizungu ie contemporary house, bungalow, crib, mansion na kadhalika.
3. Magari waliyo nayo ni ya gharama kubwa, hamna mwenye vits wala IST.
4. Elimu zao ni kubwa kama nyumba zao na magari yao.
5. Wote ni maboss
6. Wote ni wafanyabiashara wakubwa.
7. Wote ni watu wa safari sana, zile safari za nje ya bara letu.
8. Wote walizipeleka familia zao vacation
9. Wote wamesoma shule nzuri za kimataifa
10. Wote walikuwa wakali sana darasani.
11. Wote wana wenza wenye hela nyingi na wazuri sana.
12. Wote familia zao ni bora sana na zina upendo wa hali ya juu sana.
13. Wote wanatumia simu kali na za juu. Techno na infinix wanawapa walinzi wao
Wote wana access na mkuu wa nchi muda wowote watakao.
Usiwaamini mtu hapa jukwaani, watu wamechoka balaa.
Watu hawana ajira, wanapost kuwa wao ndio wana uwezo wa kuajiri.
Watu hawana mitaji lakini hapa wanajiita wafanyabiashara wakubwa.
Hawana pesa ya kulipa pango la nyumba, wanaishi kama digidigi kwa kuwakimbia wenye nyumba walizopanga, lakini wakiwa hapa jukwaani wanajiita Land lord.
Kuwa macho ndugu yako
Huna baya Aunt Mcute.. Anko alilenga kama sniper 🤗Mashangazi mbona tupoo hahhaa hatumbugudhi mtu
Janga la wengi mamie usiwaze sana, Mungu hamtupi mja wake 💪Ada ya mtoto man
Man, you cooked himWewe ni muongo tu hahahaaaa.
Unataka kujipatia vi brownie points kwa kuwasema hao uliokutana ili sijui uonekane uko ‘real’.
FOH with that bullshit.
Mtu anaanzaje kukuambia wewe ana hivyo vitu vyote?
‘Aisee Bujibuji, mimi nina gari, nina madigrii, nina ma akaunti Uswisi, nina mashamba, nina matrekta’…
Wewe ni mzushi tu. You don’t sound believable at all.
Sawa wanguJanga la wengi mamie usiwaze sana, Mungu hamtupi mja wake 💪
Changamka kdogo hatujakuzoea hivo
Kwa kiasi kikubwa inawezekana.Kuhusu Elimu JF wengi ni degree holder
Kiswahili kigumu amesema
Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao JF sio nilioonana nao nje ya JF.
Anamaanisha kwamba ni amewakuta humu amewajua humu na wapo humu km sio wewe basi kaa ukijua wapo wenye wameandikwa kwenye hio orodha usibishe, humu kuna kila aina ya watu na unakutana nao na kupishana nao kwenye cordor za JF kila leo kwa hio kiswahili cha mtoa mada kisikuorofishe ubongo mkuu, mimi binafsi nimekuelewa ukitaka kuelewa anazungumzia nini tafuta uzi za Bill Lugano uone anavyojieleza leo yupo Thailand kesho anaenda kutembelea Malaysia, wewe upo wapi?
Huo ni mfano mmoja wapo tu nimemzungumzia wengine wapo, je kweli Bill Lugano ana ukwasi kiasi hicho cha kuzurula kila majiji ya hii dunia au yupo Tandale kwa mfuga Mbwa tu hapo? Sorry mkuu Bill Lugano kwa kukutolea mfano Ila kuna watu bila kuonyeshwa mifano hawawezi kuelewa
Ukiniondoa huyo wapo wengi wengine ambao kweli yaliyoandikwa ndio maisha yao na wapo humu JF, sasa kuna ubaya gani mtoa mada anaposema amekutana nao humu JF? Sio kwamba amekutana nao Bar au nyumbani kwake
Mmmh! Makapuku kama mimi bado hujakutana nao mkuu, huo ni ubaguzi mkuu_ndugu_yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Wote wana magari
2. Wote wana majumba yenye majina ya kizungu ie contemporary house, bungalow, crib, mansion na kadhalika.
3. Magari waliyo nayo ni ya gharama kubwa, hamna mwenye vits wala IST.
4. Elimu zao ni kubwa kama nyumba zao na magari yao.
5. Wote ni maboss
6. Wote ni wafanyabiashara wakubwa.
7. Wote ni watu wa safari sana, zile safari za nje ya bara letu.
8. Wote walizipeleka familia zao vacation
9. Wote wamesoma shule nzuri za kimataifa
10. Wote walikuwa wakali sana darasani.
11. Wote wana wenza wenye hela nyingi na wazuri sana.
12. Wote familia zao ni bora sana na zina upendo wa hali ya juu sana.
13. Wote wanatumia simu kali na za juu. Techno na infinix wanawapa walinzi wao
Wote wana access na mkuu wa nchi muda wowote watakao.
Usiwaamini mtu hapa jukwaani, watu wamechoka balaa.
Watu hawana ajira, wanapost kuwa wao ndio wana uwezo wa kuajiri.
Watu hawana mitaji lakini hapa wanajiita wafanyabiashara wakubwa.
Hawana pesa ya kulipa pango la nyumba, wanaishi kama digidigi kwa kuwakimbia wenye nyumba walizopanga, lakini wakiwa hapa jukwaani wanajiita Land lord.
Kuwa macho ndugu yako
Inashangaza sana, mtu unaishi Dar es Salaam huna gari!
Igweeeeeee Habari za jumapili wanajamvi, Katika hali ya kawaida na nyakati hizi hasa kwa watu wanaoishi jijini Dar es Salaam gari imekuwa ni sehemu ya mahitaji muhimu kwa binadamu Mtu unaishi Dar es salaam mwanaume kabisa, kila siku unatoka kufanya harakati zako za maisha lakini huna gari ni...www.jamiiforums.com
Kuna pombe nyingine ukishika mkononi mbele ya watu zinaeleza ulivyo
Jana nipo sehemu ya kujidai ni mekamatia Hennessy mkononi huku nikitema ungeli wa malikia bila kujijua. Basi asubuhi Jumamosi natumiwa pongezi sana kuwa nilitisha sana na nilikuwa natema madini mazito sio ya nchi hii ni ya kurusha chombo kwenda mwezini. Basi nikajiona bichwa kubwa sana ila...www.jamiiforums.com
Kama hamna uwezo wa kuwa na mfanyakazi acheni msilazimishe
Kuna ndugu yangu wa kike alikataa shule, akaamua kuwa kicheche ,ni wa kike, sasa maisha yalipomchapa akaamua kutafuta kazi, yalipomchapa zaidi akatafuta kazi za ndani sehemu, siku moja katika pita zangu nikamkuta ana ndoo ya maji kichwani. Nikamuuliza mbona hivyo na ndoo, akanijibu kuwa boss...www.jamiiforums.com
Tufanye maarifa ya kuonana broMmmh! Makapuku kama mimi bado hujakutana nao mkuu, huo ni ubaguzi mkuu_ndugu_yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]