Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Kutana na mimi wa kwanza! Sina gari ya kutembelea wala jumba kuuuuuubwa na sina kazi maalum
Maisha yanaenda enda tu kwa kitegemea monsoon wind
 
Man, you cooked him
 
Yes,nimekutana nao 2of them here ni wanahela kiasi .

1.huyu mtu ni mdogo age yake 28 anahela mbaya maana anamiliki vitu kadhaa .
Serikalini hayupo ila kujua🤦 watu anajua .
Tulipishana maelezo kisa anataka ni slim
2. Ni kizee ila anaendesha kitu uwakika akija Arusha ni mountmeru hotel,Mzee adi melia anafikiaga ila kazi sisemi ataanza fuatiliwa
 
Mkuu acha uongo mbona mm Sina gari Wala sio boss na Nisha shisha Uzi nyingi za kuomba ushauri.

Tatzo lako umejikita Sana kwenye jukwaa la Mapenzi.

Tembelea jukwaa la afya,biashara huko ndo utakutana na wana jf wapambanaji wenye kipato kidogo Sana wakiomba ushauri kwa wadau.

Ukitoka huko tembelea jukwaa la michezo kwenye Uzi wetu wa betting uone vijana tunavyo kimbizana na ule Uzi

Ukirudi kwenye Uzi wako huu naimani utaufanyia marekebisho
 
Nilichonacho ni kiji-ajira tu, kaujenzi ndo najikongoja hakajaisha.

Basi tu, kweli wengi wanaeleza mafanikio yao wapo wakweli na waongo

ILA CHOKA MBAYA TUMO

Mungu tusaidie,[emoji1545]
 
Hiyo tandale kwa mfuga mbwa ipo nchi gani? Ningependa nako nikatembelee kama kuna hotels za kisasa na maisha mazuri
 
Mmmh! Makapuku kama mimi bado hujakutana nao mkuu, huo ni ubaguzi mkuu_ndugu_yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…