Hawa ndio wanaume wa shoka

Hawa ndio wanaume wa shoka

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
images (1).jpeg
images.jpeg


Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu......


Karibuni sana makamanda wangu

Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku
Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00

Kila la heri Wydad and Raja Casablanca
 
Mamelody jina tu, hawana timu wale [emoji23][emoji23] anatoka mapema sana
Mkuu kwahiyo kwa Africa unshisi timu bora ni ipi? Msimu huu Al Ahly kachezea mechi zote mbili. Kama sijakosea ndio mechi yao ya kwanza kufungwa. Kwenye group stage hawakufungwa mechi hata moja.

Na kingine kwa matokeo ya 2 kwa moja ni yeye ndiye matokeo yanambeba kwasababu alikuwa away
 
Mkuu kwahiyo kwa Africa unshisi timu bora ni ipi? Msimu huu Al Ahly kacheza mechi zote mbili. Kama sijakosea ndio mechi yao ya kwanza kufungwa. Kwenye group stage hawakufungwa mechi hata moja.

Na kingine kwa matokeo ya 2 kwa moja ni yeye ndiye matokeo yanambeba kwasababu alikuwa away

(Raja Casablanca, Wydad Casablanca na Esperance de tunis) hapa lazima mmoja ama wawili watinge final.....


Al ahly na Petro Atletico sio wabaya, all in all hao wajuu nimewanyooshea 🙌🙌
 
Wamekuwa wazuri kwa kuishia nusu fainali, tangu 2016 mafanikio yao makubwa yamekuwa ni kufika nusu.

Ukiangalia hata mpira wao hovyo kabisa, all the time wanapaki bus....mtu anaejua mpira hawezi kukubishia
 
Huyo jamaa ni mpenzi wa vitimu vya Kaskazini mwa Afrika huko, Mamelody wamekuwa wazuri kwa misimu kama mitano hivi.

Ndani ya miaka mitano wana vikombe vingapi?

Kuhusu mapenzi hata wewe unaweza shabikia timu uzipendazo/zinazofanya vizuri.....
 
Al ahly 2-1 Raja, HT
Petro Atletico 2-1 Mamelody, FT
 
Back
Top Bottom