econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mimi huwa nawashangaa baadhi ya wabongo, kitu kinaonekana wazi, mpira unaangalia dakika zote 90, lakini bado anang'ang'ana kuwasifia Mamelody timu linalopaki bus muda mwingi. Na timu za kupaki bus ni za kuogopa sana wakikulamba moja tu kurudisha ni ngumu mno kwa maana wote wanarudi nyuma, ndicho kilichomkuta al ahly dhidi ya mamelody last match.
Kupaki basi nayo Ni mbinu ya mchezo