Hawa ndio wanaume wa shoka

Hawa ndio wanaume wa shoka

Waache warabu wamenyane ili huko semi final stage wawe wachache
 
Al ahly ashafahamu kitakachoenda kumtokea raja hii ilikuwa sio game yakuisha 2-1 .....al ahly anaenda kuisha
 
Mamelod hawezi kuwa bingwa wa CAFCL, hizo mbio zao zisikutishe wao kuingia robo fainali huwa ni kawaida sana ila kombe ni kwa mwarabu.
Hao warabu siku hizi anajipigia kama watoto wake , mpaka sasa sijaona team ya kumsumbua Mamelody
 
Safari hii tuseme tu Al ahly asanteni kwa kushiriki,leo ilikuwa ashinde hata goli 5 maana Raja Casablanca alikuwa pungufu halafu walikuwa wanapaki tu basi ila akifika morocco [emoji1173] itoshe tu kusema buriani Al ahly kwaheri ya kuonana
Hao Pharaoh's hizi ndio kazi zao usishangae wakaenda kumtia mtu konzi nyumbani kwake
 
Hawajaanza kuwapiga sikuizi, kuna kipindi Al ahly alipigwa 5 na huyo mamelod ila ndoo akabeba yeye, msimu uliopita alimaliza group stage akiwa nyuma ya Simba Sc ila ndoo alibeba yeye.
Mamelody alimtoa Al Ahl season hio ile game ilikua quarter final mechi ya final alikua Wydad V's Esperance ilivunjika ndio ukaja huu mfumo wa mechi moja ya final
 
Hawajaanza kuwapiga sikuizi, kuna kipindi Al ahly alipigwa 5 na huyo mamelod ila ndoo akabeba yeye, msimu uliopita alimaliza group stage akiwa nyuma ya Simba Sc ila ndoo alibeba yeye.
Kama alifungwa goli tano halafu ndoo alichukua Al Ahly, inamaana kwenye mechi ya marudiano Al Ahly alishinda goli sita? Au alirudisha magoli yote matano wakaenda matuta? Ni ngumu sana kufanya comeback ya magoli matano. Al Ahly walivyopigwa tano wakayaaga mashindano kwsababu alishinda goli moja tu home. Na ilikuwa ni mechi ya robo fainali
 
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.

Kwahiyo mamelod ni team ya kawaida hapa Africa, labda kama ikilinganishwa na Simba Sc ndo itaonekana kubwa.
 
Hao warabu siku hizi anajipigia kama watoto wake , mpaka sasa sijaona team ya kumsumbua Mamelody

Ila watu wengine bwana mnafurahisha sana 😂 huwa mnaangalia mpira kweli! Au ndio mahaba niuwe! Hivi kweli Mamelody utamcompare na akina Ahly, raja, wydad, petro Atletico na Esperance? Mamelody akikutana na waarabu muda mwingi anapaki bus, na kama unabisha nikuwekee last records ujionee!
 
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.

Kwahiyo mamelod ni team ya kawaida hapa Africa, labda kama ikilinganishwa na Simba Sc ndo itaonekana kubwa.

Mimi huwa nawashangaa baadhi ya wabongo, kitu kinaonekana wazi, mpira unaangalia dakika zote 90, lakini bado anang'ang'ana kuwasifia Mamelody timu linalopaki bus muda mwingi. Na timu za kupaki bus ni za kuogopa sana wakikulamba moja tu kurudisha ni ngumu mno kwa maana wote wanarudi nyuma, ndicho kilichomkuta al ahly dhidi ya mamelody last match.
 
Waliokuwa away wana asilimia kubwa ya kufuzu hatua inayofuata

Kwa raja na ahly ngumu kutabiri, though nawaombea raja wapite

Kwa upande wa petro dhidi ya mamelod, nnahakika petro anapita, Mamelody hata kwao wabovu, wazee wa kupaki bus wale hawana jipya acha watolewe 😂
 
Wabovu ambao wanakaribia kuchukua ubingwa.
 
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.

Kwahiyo mamelod ni team ya kawaida hapa Africa, labda kama ikilinganishwa na Simba Sc ndo itaonekana kubwa.

Timu ya kawaida kwako.
 
Back
Top Bottom