Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Al ahly akifika eneo linaloitwa quarter final uwa hana mzaa.
Waliokuwa away wana asilimia kubwa ya kufuzu hatua inayofuataAl ahly 2-1 Raja, HT
Petro Atletico 2-1 Mamelody, FT
Hao warabu siku hizi anajipigia kama watoto wake , mpaka sasa sijaona team ya kumsumbua MamelodyMamelod hawezi kuwa bingwa wa CAFCL, hizo mbio zao zisikutishe wao kuingia robo fainali huwa ni kawaida sana ila kombe ni kwa mwarabu.
Hao Pharaoh's hizi ndio kazi zao usishangae wakaenda kumtia mtu konzi nyumbani kwakeSafari hii tuseme tu Al ahly asanteni kwa kushiriki,leo ilikuwa ashinde hata goli 5 maana Raja Casablanca alikuwa pungufu halafu walikuwa wanapaki tu basi ila akifika morocco [emoji1173] itoshe tu kusema buriani Al ahly kwaheri ya kuonana
Hawajaanza kuwapiga sikuizi, kuna kipindi Al ahly alipigwa 5 na huyo mamelod ila ndoo akabeba yeye, msimu uliopita alimaliza group stage akiwa nyuma ya Simba Sc ila ndoo alibeba yeye.Hao warabu siku hizi anajipigia kama watoto wake , mpaka sasa sijaona team ya kumsumbua Mamelody
Mamelody alimtoa Al Ahl season hio ile game ilikua quarter final mechi ya final alikua Wydad V's Esperance ilivunjika ndio ukaja huu mfumo wa mechi moja ya finalHawajaanza kuwapiga sikuizi, kuna kipindi Al ahly alipigwa 5 na huyo mamelod ila ndoo akabeba yeye, msimu uliopita alimaliza group stage akiwa nyuma ya Simba Sc ila ndoo alibeba yeye.
Kama alifungwa goli tano halafu ndoo alichukua Al Ahly, inamaana kwenye mechi ya marudiano Al Ahly alishinda goli sita? Au alirudisha magoli yote matano wakaenda matuta? Ni ngumu sana kufanya comeback ya magoli matano. Al Ahly walivyopigwa tano wakayaaga mashindano kwsababu alishinda goli moja tu home. Na ilikuwa ni mechi ya robo fainaliHawajaanza kuwapiga sikuizi, kuna kipindi Al ahly alipigwa 5 na huyo mamelod ila ndoo akabeba yeye, msimu uliopita alimaliza group stage akiwa nyuma ya Simba Sc ila ndoo alibeba yeye.
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.Kama alifungwa goli tano halafu ndoo alichukua Al Ahly, inamaana kwenye mechi ya marudiano Al Ahly alishinda goli sita? Au alirudisha magoli yote matano wakaenda matuta? Ni ngumu sana kufanya comeback ya magoli matano. Al Ahly walivyopigwa tano wakayaaga mashindano kwsababu alishinda goli moja tu home. Na ilikuwa ni mechi ya robo fainali
Al ahly akifika eneo linaloitwa quarter final uwa hana mzaa.
Waache warabu wamenyane ili huko semi final stage wawe wachache
Hao warabu siku hizi anajipigia kama watoto wake , mpaka sasa sijaona team ya kumsumbua Mamelody
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.
Kwahiyo mamelod ni team ya kawaida hapa Africa, labda kama ikilinganishwa na Simba Sc ndo itaonekana kubwa.
Mamelody alimtoa Al Ahl season hio ile game ilikua quarter final mechi ya final alikua Wydad V's Esperance ilivunjika ndio ukaja huu mfumo wa mechi moja ya final
Waliokuwa away wana asilimia kubwa ya kufuzu hatua inayofuata
Ndani ya miaka mitano wana vikombe vingapi?
Kuhusu mapenzi hata wewe unaweza shabikia timu uzipendazo/zinazofanya vizuri.....
Kwa raja na ahly ngumu kutabiri, though nawaombea raja wapite
Kwa upande wa petro dhidi ya mamelod, nnahakika petro anapita, Mamelody hata kwao wabovu, wazee wa kupaki bus wale hawana jipya acha watolewe π
Hoja yangu ni kwamba, pamoja na kumpiga Ahly goli tano bado hakuweza hata kufika fainali.
Kwahiyo mamelod ni team ya kawaida hapa Africa, labda kama ikilinganishwa na Simba Sc ndo itaonekana kubwa.