Hawa ndio wanaume wa shoka

Kupaki basi nayo Ni mbinu ya mchezo
 
Wabovu ambao wanakaribia kuchukua ubingwa.

Haya ngoja tuone wapaki bus wako watafika wapi..petro kamtoa jasho, kwa wakina Raja si atapigwa ndani nje πŸ˜ƒ nawaombea watolewe haraka, hawajui kucheza.
 
Hivi hao mamelod msimu huu mmewaangalia vizuri wakicheza! Hasa wakiwa S.A.Huu ndo msimu ambao anaweza kufanya vizuri zaidi tofauti na misimu iliyopita.kweli amefungwa mechi ya kwanza ila atacheza fainali na pengine ndiye bingwa mpya wa Africa.
 
Amefanya tayari au bado tusubirie?
 
Wamelambwa kichwa
 
Huyo jamaa ni mpenzi wa vitimu vya Kaskazini mwa Afrika huko, Mamelody wamekuwa wazuri kwa misimu kama mitano hivi.

Endelea kujifariji, nilishasema hao wapaki bus mapema tu wanaaga, nikasema na lion wanaaga mapema tu.

Bingwa anatokea hapa(Wydad or Al ahly)

Kila laheri Wydad Casablanca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…