BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Apr 25, 2022 Thread starter #61 NAWATAFUNA said: Al ahly akifika eneo linaloitwa quarter final uwa hana mzaa. Click to expand... Wewe ni hatari sana kamanda wangu, ila nikupe pole mnyama ameondolewa
NAWATAFUNA said: Al ahly akifika eneo linaloitwa quarter final uwa hana mzaa. Click to expand... Wewe ni hatari sana kamanda wangu, ila nikupe pole mnyama ameondolewa
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Apr 25, 2022 #62 BlackPanther said: Umeona eee, hata lion niliwaambia wanatoka. Wydad nguvu moja [emoji1434][emoji1434][emoji1434] kama puttin vile [emoji2] Click to expand... Mpira hauna nidhamu kabisa
BlackPanther said: Umeona eee, hata lion niliwaambia wanatoka. Wydad nguvu moja [emoji1434][emoji1434][emoji1434] kama puttin vile [emoji2] Click to expand... Mpira hauna nidhamu kabisa
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Apr 25, 2022 Thread starter #63 ukikaidi utapigwa2 said: Mpira hauna nidhamu kabisa Click to expand... Pole kamanda wangu, mpira ndivyo ulivyo...
ukikaidi utapigwa2 said: Mpira hauna nidhamu kabisa Click to expand... Pole kamanda wangu, mpira ndivyo ulivyo...
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,285 Reaction score 2,969 Apr 25, 2022 #64 BlackPanther said: Huwa wanapata wapi ujasiri wa kusifia kisichofanya vizuri![emoji2] Click to expand... Ni ubaguzi tu unaowapa upofu bila hivyo wangeshaona picha mapema sana kwamba waydad au Alahly watafika fainali
BlackPanther said: Huwa wanapata wapi ujasiri wa kusifia kisichofanya vizuri![emoji2] Click to expand... Ni ubaguzi tu unaowapa upofu bila hivyo wangeshaona picha mapema sana kwamba waydad au Alahly watafika fainali
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Apr 25, 2022 Thread starter #65 msukuma fekero said: Ni ubaguzi tu unaowapa upofu bila hivyo wangeshaona picha mapema sana kwamba waydad au Alahly watafika fainali Click to expand... Kweli kabisa, ubaguzi umewajaa tele kamanda, lakini moyoni wanajua kabisa mmoja wao anafika final
msukuma fekero said: Ni ubaguzi tu unaowapa upofu bila hivyo wangeshaona picha mapema sana kwamba waydad au Alahly watafika fainali Click to expand... Kweli kabisa, ubaguzi umewajaa tele kamanda, lakini moyoni wanajua kabisa mmoja wao anafika final