Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
vp mzee ulikua darasa la pili?Nimekumbuka mbali sana
Hawa wa elfu 2 Hawa kazi kweli1.Nurdin Bakari
2.Abdi cassim babi
3.Joseph kaniki
4. niko nyagawa
5. fredrick mbuna
6. juma jabu jj
7. Meshack abel
8.Shamte ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel mwakyusa
11.Mrisho khalfani ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
shikamoo uncleHapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
wa zama zako ni wepi mkuu?Hawa wa elfu 2 Hawa kazi kweli
Kuna akina abedi mziba, Moses mkandawile, Niko bambaga, mandata rubigisa , fumo felisian, Makumbi Juma, athumani china, jastin mtekele, malota soma, Christian sikinde mbunga, deogratias muhani, Juma mgunda, sahau kambi , smart boy husein Masha, twaha hamidu, idrisa ndunguru, fled Felix minziro, na wengine wengiwa zama zako ni wepi mkuu?
vp mzee ulikua darasa la pili?
Hizi ndio zilikuwa zama zetu, Edibili Lunyamila, Steven Nemes, Method Mogela, Zamoyoni Mogella, Said Mwamba Kizota, nk nk.Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
Hahaha mimi pia naona hapa nijipitie kwa speed ya upepo... duh! Nikiwa mdogo walikuwa wanasikika sana kina Lunyamila,Mogella,..Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
Nami napita kimya kimya hapa, kumbe mtoa mada ni wa dot.com, wale wa kulalama na viajira vya tra!,Celestine Mbunga,aka sikinde, Peter Tino, Mohamed Richard aka Adolf, Nicodemus Njohole, Kassim Manara, yoooo kipindi nchi Ina heshima na adabuHapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
Tusubiri la kwetu Lile la akina, zigi zagaKwahiyo na sisi wa zamani kidogo enz za kina, mwameja, peter manyika tunakoment wapi, huyo mrisho ngasa si wa juzi tu amecheza na akina Jerry Tegete
mi nilisikiza redioni hio gemu, tulikula 3-0 ?Hayo majina yanatamba nilikuwa shule ya msingi madarasa ya juu juu kama la nne ama la tano najielewa tayari.
Mechi ya simba na enyimba mwaka 2003. Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda taifa. Tulienda na jirani yetu mzee msolla ndugu wa kocha wa zamani wa taifa starz
Enzi hizo simba ina kina Boniface pawasa
duuh haloo , shikamoo uncle!Kuna akina abedi mziba, Moses mkandawile, Niko bambaga, mandata rubigisa , fumo felisian, Makumbi Juma, athumani china, jastin mtekele, malota soma, Christian sikinde mbunga, deogratias muhani, Juma mgunda, sahau kambi , smart boy husein Masha, twaha hamidu, idrisa ndunguru, fled Felix minziro, na wengine wengi
Yeah hawa ndo wetu sie, bila kumsahau Celestine Sikinde Mbunga.Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.