Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Nami napita kimya kimya hapa, kumbe mtoa mada ni wa dot.com, wale wa kulalama na viajira vya tra!,Celestine Mbunga,aka sikinde, Peter Tino, Mohamed Richard aka Adolf, Nicodemus Njohole, Kassim Manara, yoooo kipindi nchi Ina heshima na adabu
Ilikuwa nouma Sana, bahati mbaya kwao Mpira haukuwa biashara zaidi ya burudani kipindi hicho.
 
Hahaha mimi pia naona hapa nijipitie kwa speed ya upepo... duh! Nikiwa mdogo walikuwa wanasikika sana kina Lunyamila,Mogella,..

Hzi

Hizi ndio zilikuwa zama zetu, Edibili Lunyamila, Steven Nemes, Method Mogela, Zamoyoni Mogella, Said Mwamba Kizota, nk nk.
Daaah, umemtaja Stephen Nemes, alitoka Nyota Nyekundu huyu akaenda Yanga, kipindi hicho Nyota Nyekundu ya Moto kwa rafu, watoto wauza mitumba pale mtaa wa Kongo, Mimi nimekulia Kariakoo Mtaa WA Ndanda OPP na Benjamin Mkapa Sec, Mpira kwetu ilikuwa kama utamaduni, lazima tuhudhurie, maisha yanaenda speed Sana.
 
Nami napita kimya kimya hapa, kumbe mtoa mada ni wa dot.com, wale wa kulalama na viajira vya tra!,Celestine Mbunga,aka sikinde, Peter Tino, Mohamed Richard aka Adolf, Nicodemus Njohole, Kassim Manara, yoooo kipindi nchi Ina heshima na adabu
hahahaa , richard adolf kuna kipindi akaja kuwa kocha
 
shikamoo uncle
Nastahili kwakweli, Mimi ni shabiki wa Yanga, japo sio kama kipindi hicho, nakumbuka kuna game tulifungwa na Pamba ya Mwanza, ilikuwa 3-2 pale Taifa, sitakaa nisahau Yale maumivu, Pamba ya Moto balaa, kuna mtu anaitwa Fumo Felician, George Masatu anasimama kama Mkoba, golini kwao kuna mtu alikuwa anaitwa Peter Rwechungura kama sikosei, soka lilikuwa soka.
 
napenda sana kujua maisha yao wachezaji hasa baada ya soka!
 
Back
Top Bottom