mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Yah ni kweli, wachezaji zamani kdg walikuwa na ukasumba wa kukubaliLunyamila ni WA miaka ya 90 hv, nafikiri ni mmoja wa wachezaji Bora kabisa kutokea Tanzania, alitokea Shinyanga huyu kama sikosei, Jamaa alikuwa na chenga balaa,kuna story nilisikia kwamba Marehemu Abbas Gulamali alihakikisha Jamaa anarudi kutoka Germany alipokwenda kujaribu kucheza soka la kulipwa ili tu aje acheze game na Simba, sikupata uhakika wa hii story ila Jamaa Mpira alikuwa anaujua Sana.
Ana na matajiri wao huku wacheze tu bongo....
Wakati tayari walishapata nafasi nje
Ova