Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Winga moja matata sana alikua anateleza kama risasi ndo maana akapewa jina la SMG. Kacheza Simba na Yanga ila Yanga ndo alidumu zaidi pakawa nyumbani kwake, hata alipoondoka kwenda Angola kucheza soka la kulipwa alivyorudi akapewa kazi Yanga hadi leo anatumika kama kocha wa timu za vijanahuyu 14:Said maulid SmG nasikia ulikua moto wa tanuru ,kaa nae mbali kabisa