Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Kasongo Athuman,Stephen Nemess,Mackenzie Ramadhan, Deo Njohole, Deo Mkuki,Amir Maftah,Method Mogella,Abeid Mziba, Makumbi Juma,Sahau Kambi,Will mkandawile,Will Martin asee list ndefu........
nemess katajwa na watu wengi, huenda ndio alikua ngasa wa zamani
 
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa

Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
2,6,9,11 dah kitambo
nmemkumbuka bahanuzi kwenye kagame cup
 
Unaona wivu kisa nimemsifia ni handsome!
Imenifikirisha Sana Sana!,Tena ukiwa darasa la pili.
20230515_171727.jpg
 
Back
Top Bottom