Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Amili mafutaa yupo wpi hpo
 
Paul Rwechungura sio Peter Rwechungura na kipa mwenzake alikuwa Madata Lubigisa.
 
Said Mwamba Kizota, Thabit Bushako, Pichou Kongo, Kimanda Constantine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.
Mi pia nilitegemea majina ya kina fikiri magoso (big boy), miaka ya tisini kuna msela tulikuwa tunapiganae vyombo, alikua anachezea Reli ya morogoro,Duncan butinini,alizunguaga morogoro hoteli nadhani,wahuni wakamtoa meno ya mbele
 
Makumbi juma)homa ya jiji, 'na kuna yule mzee wa kiminyio
 
Mtwa alishawahi kuchezea Reli ya morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…