Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

mbona mnyazimungu hawasaidii gaza sasa?
This is wrong, kwahiyo mfano sisi Tanzania ni masikini even though tunashikilia dini kwelikweli kuliko wazungu je ina maana hatuna Mungu?

Au mfano Hitler alipochinja wayahudi million 6 kwa mfano huu huu je hawakuwa na Mungu ilihali ni "taifa teule"?
 
na hapohapo mitandao ya Israel inasema vijana wawili wa kitanzania, Joshua Loutu MOllel & Clemence Felix Mtenga wamekamatwa na hamas, walienda kwenye intenship ya kilimo na hatujasikia lolote toka serikalini kama wananegotiate au wanawasaidiaje au wameachwa hukohuko wafe.
Si wameandika mushirikiane kwenye maombi
 
Israel ina wapalestina 1,500 kwenye magereza yao bila kesi wala kifungo wapo tu kisiri kama mateka!! Ila watu wapo concerned na mateka 100? I'm not supporting kidnapping ila Israel imeteka mara kumi ya hao waliotekwa na Hamas.
Hao watanzania wanakosa gani?
Nigeria ilikuwa ina chekacheka sasa kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Boko Haramu.
Ona Sudan, raia wasiokuwa na hatia wanauliwa na mwaarabu. Watu wanaulizwa, wewe ni mwaarabu, ukijibu hapana. Unauliwa.
Israel inachofanya ni sahihi 100%. Waislamu siyo watu wazuri. Wakiua kafiri wanaenda peponi
 
Nigeria ilikuwa ina chekacheka sasa kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Boko Haramu.
Mkuu Jamhuri ya Afrika ya kati wana kikundi cha kigaidi cha kikristo kinaitwa Anti-Balaka kilikua kinaua waislam tu same as Uganda kilikuwepo cha Joseph Kony!! Mambo ya ugaidi hayana connection na dini ila wanajifichia. Ni sawa nikwambie watu wakiuziwa chumvi au sabuni za uponyaji ndio inaakisi ukristo unavyosema?
Ona Sudan, raia wasiokuwa na hatia wanauliwa na mwaarabu. Watu wanaulizwa, wewe ni mwaarabu, ukijibu hapana. Unauliwa
Sio waarabu tu hata Rwanda hapo wakatoliki walifadhili mauaji ya kimbari yaani padre wa kihutu anatoa pesa kuwasaka watutsi makanisani and vice versa!! Na kanisa katoliki liliomba radhi kwa uhusika huo imagine wangekua dini ingine!!
Israel inachofanya ni sahihi 100%.
Wanakosea sana unakalia nchi ya mtu kimabavu alafu akijitetea unamuita mchokozi
 
Mkuu Jamhuri ya Afrika ya kati wana kikundi cha kigaidi cha kikristo kinaitwa Anti-Balaka kilikua kinaua waislam tu same as Uganda kilikuwepo cha Joseph Kony!! Mambo ya ugaidi hayana connection na dini ila wanajifichia. Ni sawa nikwambie watu wakiuziwa chumvi au sabuni za uponyaji ndio inaakisi ukristo unavyosema?

Sio waarabu tu hata Rwanda hapo wakatoliki walifadhili mauaji ya kimbari yaani padre wa kihutu anatoa pesa kuwasaka watutsi makanisani and vice versa!! Na kanisa katoliki liliomba radhi kwa uhusika huo imagine wangekua dini ingine!!

Wanakosea sana unakalia nchi ya mtu kimabavu alafu akijitetea unamuita mchokozi
Ukiona mpk mkristo anaunda kikundi cha kuua waislamu. Ujue wamechokozwa uvumilivu umefika kikomo. Wameamua wadili nao jino kwa jino. Wakristo wavumilivu sana, hapa Tanzania waislamu walikuwa wanachoma makanisa na kuua wachungaji au kuwadhuru. Hivi vitendo vilishamiri sana ila walipokamatwa viongozi wa wakiislamu wa UAMSHO hali ikatulia.
Njia nzuri ya kutumia kukabiliana na magaidi, nikutumia njia anayotumia magaidi, Israel ndiyo inatumia hiyo
 
Nadhani serikali Inafanya jitihada lakini Kuna huyu kiumbe Faiza ni mbaya sana. Hana huruma,Wala utu. Yaani sisi tunauchungu na watanzania wenzetu yeye anafurahia kwasababu si waislamu. Hii si sawa kabisa.
 
Nusra ya Mwenyezi Mungu ipo karibu, media zinaficha, wanajeshi wanauawa sana ila wanaficha, Magaidi wenu si wanauwa watoto na wazee......Hamas wao wanauwa wanajeshi tu. Tena vita ya chini ndio watakwisha wote hao ndugu zenu wanao watemea mate
unaota ndoto mchana, shtuka. mnyazimungu wenu hana uwezo wa kuwasaidia, hajawahi kuwasaidia.
 
Usikute kuna wapuuzi huko Zanzibar, Tanga, Pemba, Lindi na Mtwara wanawaombea hawa jamaa wakirudi wawe washaslim na kuwa Majihad wakija kuhutubia hapa Tanzania. Dini za kishetani hizi, shida kweli kweli.
 
Nusra ya Mwenyezi Mungu ipo karibu, media zinaficha, wanajeshi wanauawa sana ila wanaficha, Magaidi wenu si wanauwa watoto na wazee......Hamas wao wanauwa wanajeshi tu. Tena vita ya chini ndio watakwisha wote hao ndugu zenu wanao watemea mate
Tatizo la kutokusoma na kujuwa ukweli ndilo hili....usifuatilie habari za misikitini au vijiwe vya kahawa, utapotoka. Nduguzo wanasambaratishwa mpaka wanasikitisha, siungi mkono mauaji ya vita kwanza havinihusu ia Hamas kwa kweli wanasikitisha kwani wanawake wao wengi sasa watabaki wajane maana waume zao wanawahishwa mbinguni kupewa wale mabikra 72 wasio na ndevu walioahidiwa. Soon, Tanzania (Dar, Zanzibar, Pemba, Tanga, Lindi, Mtwara) tutaanza pokea wajane wa Kipalestina. Mimi naweka wazi, kama huyo mjane atavaa magunia kichwani simtaki, afuate tu wenzake mbinguni.
 
Pole sana mgalatia/myahudi mweusi
 
Usikute kuna wapuuzi huko Zanzibar, Tanga, Pemba, Lindi na Mtwara wanawaombea hawa jamaa wakirudi wawe washaslim na kuwa Majihad wakija kuhutubia hapa Tanzania. Dini za kishetani hizi, shida kweli kweli.

Una chuki za wazi kabisa, kumbuka Tanzania waislamu ni wengi kuliko wapagani. Na kwa taarifa yako wapalestina pale ni kwao, so usitegemee wakimbie nchi yao. Hilo sahau, watapigana mpaka mwisho
 
Dogo hivi unajuwa Wapagani ni watu wanaoamini vitu visivyo na kichwa wala miguu? Yeyote afuatiliaye dini za maboti ni Mpagani kwani anaamini vitu visivyo na mantiki kwake, analishwa tu ujinga na kujiaminia, huu ni upagani kwa taarifa yako.
 
Back
Top Bottom