zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
This is wrong, kwahiyo mfano sisi Tanzania ni masikini even though tunashikilia dini kwelikweli kuliko wazungu je ina maana hatuna Mungu?mbona mnyazimungu hawasaidii gaza sasa?
Au mfano Hitler alipochinja wayahudi million 6 kwa mfano huu huu je hawakuwa na Mungu ilihali ni "taifa teule"?