Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

Ukilala unaotaga uko sehemu ingine wakati ubongo uko kitandani!!!...
Ngoja ufe mkuu 😂 😂
Hahah sasa unaoota si ni huo huo ubongo?
Tena sikuizi hata MRI wanatumia kuangalia activities za ubongo pindi umelala, kwa kifupi ukilala ubongo unafanya kazi sawasawa na ukiwa macho, yani ubongo haulali.


Sio kulala tu, unaweza hata kufumba macho ukautumia huo huo ubongo kuwaza upo sehemu nyingine.
Au ukatumia vifaa kama VR kuudanganya kuwa saivi uko mahali pengine.

Lakini bila huo ubongo hakuna kitakachofanyika.
 
Back
Top Bottom