Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sura namba 27 Suratul AnnamlMkuu naomba kujua katika quraan nitakapoweza kusoma habari za mfalme suleiman.asante
AmiinAllah akulipe kheri mleta mada.
AsanteSura namba 27 Suratul Annaml
Naam akhy jambo la kusoma vitabu peke yako linataka uwe umeshapata taaswiyl au umesomeshwa tayari kisha unaenda kufungua sharhu hapo sawa au umefikia mustawa fulani wa kujitambua.Umekumbusha jambo muhimu sana akhy.
Hili nalo ni muhimu sana kulizingatia, na Maulamaa wanasema
من دخل في العلم وحده خرج وحده
Mwenye kuingia kwenye elimu(vitabu) pekeyake basi atatoka pekeyake.
Mambo ya kujifungulia vitabu pasi na muongozo wa wenye elimu, utatokana ufahamu usio sahihi.
Kariakoo mahala gani nikipata wasaa niendeNaam akhy jambo la kusoma vitabu peke yako linataka uwe umeshapata taaswiyl au umesomeshwa tayari kisha unaenda kufungua sharhu hapo sawa au umefikia mustawa fulani wa kujitambua.
Tuko zama ngumu mno..
إن من ورائكم زمان صبر"
للمتمسك فيه أجر خمسين شهيدا منكم" (من الصحابة)
.الحديث
pale jangwani, au ilala irshaad, ubungo kibangu n.kKariakoo mahala gani nikipata wasaa niende
Endelea hivyohivyo ukija kushtuka unafukiwa kaburini hapo sasa utaelewa ulikuja mwenyewe hapa duniani au uliletwa.Huko ndiko kwenye zile bikira za wanawake 72 tutakazopewa na Ala? Au zenyewe ziko pepo ipi!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Shukran, nitaangalia ilala in shaa allah mambo yakikaa sawapale jangwani, au ilala irshaad, ubungo kibangu n.k
au ukiweza uhamie kabisa pongwe kwetu tunafaidika mengi alhamdulillah.
Ngoja ufe utajua kweli au si kweli....Stori za kusadikika
Alfu lela ulela
Ukifa umekufa
Allah akuwafikishe mama, muhimu jitahidi wasaa upatikane tumeshachelewa tuko nyuma ya muda kabisa.Shukran, nitaangalia ilala in shaa allah mambo yakikaa sawa
In shaa allah kaka malezi kwa sasa lkn baada ya miezi mitatu in shaa allah nitajitahidAllah akuwafikishe mama, muhimu jitahidi wasaa upatikane tumeshachelewa tuko nyuma ya muda kabisa.
Ohh hakuna shida kumbe umetuongezea idadi ya waumini safi kabisa, Allah atuthibitishe sote kwenye haki mpaka tutakapokutana nae.In shaa allah kaka malezi kwa sasa lkn baada ya miezi mitatu in shaa allah nitajitahid
Allahuma aminOhh hakuna shida kumbe umetuongezea idadi ya waumini safi kabisa, Allah atuthibitishe sote kwenye haki mpaka tutakapokutana nae.
Aaamyn, wakati mwingine inshaallah.Allahuma amin
Mfano wako hauna maana.Kwani kila mkoa una rais wake? Au rais wa nchi ndie huwa wa mikoa yote?.
Firauni alikuwa mwenye kiburi zaidi ya wanaadamu wote, mwenye jeshi na nguvu mpaka leo makaazi yake yapo Egypt. Lakini muda wake wa kuishi ulipofika aliondoka, usiwe na kiburi ndugu kwenye imani.
Sasa ukifa utajua nini?Ngoja ufe utajua kweli au si kweli....
MashaaAllahAlhamdulillah ijumaa imeingia tayar na ningependa tukumbushane mawili matatu ili tujiweke tayari kukutana na hiyo siku ya Mwisho tukiwa tumeridhiwa na Mwenyezi Mungu.
Firdaus ndio pepo ya juu zaidi kuliko zote Kwa maana nyingine hii ndio pepo ambayo ni first class,na hii watairithi Mitume na Wacha Mungu.
Kwa taarifa yako Tu inasemekana zipo takribani daraja Mia Moja za pepo (100) na mkubwa wao ni huyo Firdaus.
Lakini cha kusikitisha zaidi pamoja na kuwepo hizo pepo zenye daraja takribani Mia Moja bado kuna watu hawatofanikiwa kuingia na matokeo yake wataingia motoni, Ewe Mwenyezi Mungu utujaalie tusiwe miongoni mwao Amiin.
Je watu wenye sifa gani ambao watairithi au kuingia katika hii pepo?
Kwa mujibu wa Qur'an watu wenye sifa hizi ndio ambao watairithi pepo hiyo;
WA Kwanza ni waumini ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,hawa ni Wale ambao wanapokuwa ndani ya sala basi mawazo Yao na fikra zao zote zinakuwa ndani ya ibada ya swala,hawa hakika wamefanikiwa,
lakini kuna baadhi yetu wawapo ndani ya swala basi wanajikuta wanawaza hiki na kile na mambo kibao yanatawala swala yake,ingawa ni vigumu Kwa asilimia Mia moja kutotoka kimawazo,lakini hata ukitoka basi iwe kidogo na mara moja ujikumbushe kuwa upo ndani ya swala na ujue unawasiliana moja Kwa moja na Mola wako.
Sifa ya pili ni ambao wanajiepusha na mambo ya kipuuzi
Sifa ya tatu,na ambao wanatoa zaka,hapa inaingia na sadaka pia,maana zaka ni sehemu ya sadaka. Kwahiyo hakika kutoa sadaka ni Jambo muhimu Sana na ni ibada ambayo ina faida kubwa Sana,kuna maradhi mengine unapona Kwa kutoa sadaka Tu,
Na sadaka ndio ibada ambayo mja ataikumbuka mara Tu atakapoanza kutokwa na roho, ataomba Ewe Mwenyezi Mungu naomba walau unipe nafasi kidogo niweze kutoa sadaka. Sasa usisubir mpaka wakati huo ufike huenda usipate huo Mda wa kutoa sadaka.
Sifa ya nne, ni ambao wanazilinda tupu zao, hapa ndio wale wanachama WA jukwaa la MMU wajitafakari vizuri Sana,maana Yale mambo ya kulana kimasihara basi ujue nawe utaikosa pepo kimasihara,wazee wa Michepuko hapa kazi kwenu,hapa inakatazwa Zinaa Kwa nguvu zote,kwahiyo tujitathimini Sana.
Sifa ya tano,ni Kwa wale ambao wanazitimiza Amana zao na ahadi zao,kuna watu Jambo la kuahidi wanalichukulia kimchezo mchezo Tu,tena hawa wanasiasa hawa mjue Mungu anawaona! Maana nyie Kwa kutupiga sound hamjambo basi endeleeni Tu kutupiga sound halafu muone huko kwa Mungu kama mtafanikiwa.
Hapa Napo Jambo la Amana limeingia pia,mtu amekupa Amana yake umuhifadhie basi fanya hivyo usiingie tamaa ya kuitumia Bila ridhaa au idhini yake.
Na sifa ya sita ni Wale ambao wanazihifadhi swala zao,inamaana ambao wanadumisha swala zao siku zote,maana kuna watu huwa wanaswali ijumaa mpaka ijumaa Tu,au idi mpaka idi Tu,au akiwa na shida basi yeye ndio utamuona anaswali na mambo yake yakiwa fresh Tu basi ndio nitolee na kuswali bye bye.
Hope sauti yangu imetosha na kusikika vizuri kabisa.
Ijumaa Mubaraka!
Ni hayo Tu!