Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #81
Mkuu iko hivi kama ambavyo Allah ameleta Sheria tofauti katika vipindi tofauti,na ndo hivyo hivyo kuna mambo aliamua aje ayatolee ufafanuzi mwishoni baada ya ujumbe wake kukamilika.Mkuu ,uislam ulikuwepo kabla ya ujio wa Mtume Muhammad SAW.
kwamba waislam wa mwanzo hawakujua juu ya uwepo wa hizo pepo kwa vile tu Mtume Muhammad alikuwa hajazaliwa?
Na Muhammad ndio Mtume wa mwisho hivyo yeye alipewa jukumu la kueleza kinaga ubaga Kwa mapana yake pepo ni ya namna gani na jahanamu ni ya namna gani na mambo mengine mbali mbali.
Lakini kumbuka katika umma zote zilizo pita walikuwa wanaambiwa hakika kuna siku ya mwisho ambayo watu watahukumiwa Kwa mazuri Yao na mabaya Yao pia
Kwahiyo hata umma zilizo pita walijua kutakuwa na pepo na Moto.
Shukrani.