ndonilivyo
Member
- Sep 9, 2022
- 33
- 39
Aje ajibu swali kwanzaKila pepo ina Allah wake au Allah huyu huyu atakua anatembelea pepo zote kwa wakati tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje ajibu swali kwanzaKila pepo ina Allah wake au Allah huyu huyu atakua anatembelea pepo zote kwa wakati tofauti
Utawakuta wapi?Hata papa na sheikh mkuu sijui kama nitawakuta huko,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo uchokozi mkuu hahahaHata papa na sheikh mkuu sijui kama nitawakuta huko,🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu pepo ina Allah mmoja Tu mkuuKila pepo ina Allah wake au Allah huyu huyu atakua anatembelea pepo zote kwa wakati tofauti
Hizo mbingu ni nyingi mnooo,yaani vikwazo ni vingi sana,😂😂😂Huo uchokozi mkuu hahaha
Motoni nafikiri bloangu,manake dhambi za ni dhambi zetu,😂😂😂😂😂Utawakuta wapi?
Vikwazo ni vingi lakini Mwenyezi Mungu anawaingiza watu peponi Kwa rehema yake tuHizo mbingu ni nyingi mnooo,yaani vikwazo ni vingi sana,😂😂😂
HakikaVi
Vikwazo ni vingi lakini Mwenyezi Mungu anawaingiza watu peponi Kwa rehema yake tu
Quote from the Holy Qur'an: Al-Mulk (67:2)Hakuna mwanadamu ambaye atakuwa na vitendo vizuri kiasi kwamba akajigamba kuwa vitamuingiza peponi
Ila Mwenyezi Mungu ataangalia ni Akina Nani wamejitahidi kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake
Na je walifanya ibada Kwa Nia ya dhati au walitaka kujionyesha Tu Kwa watu?
Swadakta ukhty hapo ndo penyewe kabisaQuote from the Holy Qur'an: Al-Mulk (67:2)
ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلْمَوْتَ وَٱلْحَيَوٰةَ لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلًا ۚ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْغَفُورُAllathee khalaqa almawta waalhayata liyabluwakum ayyukum ahsanu AAamalan wahuwa alAAazeezu alghafooru
Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha.
Nadhani aya hii inafaa kusindikiza maneno yako
Aliamua kumpa mwanae jina la pepo yenye daraja la juu , ma shaa allah. Tunanasihiwa kujifananisha na mambo mazuri au na sifa njema hvyo kumpa mwanae jina hili ni vizuri tuFirdaus ni katoto kadogo mam ake alkuwaabauza mihogo hapo kibo dsm
Aisee mtu amekwambia haswali hlf unamuitikia dua eti muingie peponiAmiin Amin mkuu
Naomba sote tuingie humo amiin
Usisahau kutafuta pesa mkuuSawa mkuu
Ndio maana mambo ya Dini ni Imani
Kwahiyo ngoja tuendelee kuamini Tu mkuu
Bro, Mungu hawez kuwa mmoja unless tukubaliane kati ya wakristo na waslamu kuna either kundi moja limepotoka and most likely wote kwa pamoja,Na km wote tuko sahihi bas kila dini ina Mungu wake,msiogope kusema ukweli kwasabb ya hofu ya imani zenuMkuu pepo ina Allah mmoja Tu mkuu
Je ulimwengu una sayari ngapi na nyota ngapi?
Na inasemwa Nyota ni kubwa kuliko sayar lakini mbona Mungu ni mmoja Tu.
Kwahiyo Allah ni mmoja Tu.
Ni kweli kuna Miungu tofauti hapo. Ni kama mfano mfano wa baba katika familia hawezi waongoza watoto wake kwenye malezi tofauti, ni lazima wote atawawekea misingi sawa.Bro, Mungu hawez kuwa mmoja unless tukubaliane kati ya wakristo na waslamu kuna either kundi moja limepotoka and most likely wote kwa pamoja,Na km wote tuko sahihi bas kila dini ina Mungu wake,msiogope kusema ukweli kwasabb ya hofu ya imani zenu
Ukiwa tayr kwa huu mjadala naomba ukireply apa unambie kabsa