Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

Shukran baby zu Uzi swafi japo mleta Uzi anauwasilisha kimasihara....haraka haraka nikachungulia Surat Muuminuna ,,,Basi ukhty Nuzulati Uzi unamfaa Sana...

Swala za eid mpk eid SubhanaLLAH Mtihani Sana..
Madam Nurain wakati mwingine ili ujumbe ufike vizur inabidi uuwasilishe Kwa namna ambayo haiboi na inafurahisha ili msomaji apate ujumbe.

Ebu imagine hapa Jf halafu unaleta mawaidha Kama upo msikitini au kanisani inakuwaje madam!
 
Mkuu shetani na mapepo hawana nguvu Kwa mwanadamu ambaye amejikita katika kumwabudu Mungu wake na akashikamana nae kisawasawa..

Shetani ana nguvu Kwa mtu ambaye ni muovu na ambaye yupo mbali na utukufu WA Mungu

Mara baada ya shetani kuhukumiwa kwenda motoni,alimwomba Mola wake Ampe wasaa WA kuishi Mda mrefu kidogo na Mungu akampa wasaa,na shetani akasema Hakika nitawapoteza waja wako ili niingie nao Motoni.

Mola wake akamwambia hauna nguvu ya kuwalazimisha kukufuata isipokuwa wale wachache ambao watakuwa radhi kukufuata.

Kwahiyo shetani Hana nguvu juu yako Bali anachofanya ni kukushawishi na wewe mwenyewe unaingia katika anga zake.

Kwahiyo Mwanadamu ana mamlaka juu ya shetani labda atake mwenyewe

Mkuu kama shetani hana nguvu kwa binadamu, mbona inataarifiwa kwamba Shetani alim-control Mtume wenu muhammad kuongea maneno ya shetani ie "satanic verses"......lakini kama hiyo haitoshi mtume wenu alirogwa na kupagawa na majini.....hii imekaaje mkuu?
 
Wapendwa nitakuja kujibu hoja nyingine baadae,Leo ijumaa najitayarisha kwenda masjid mapema

Shukrani.
 
Alhamdulillah ijumaa imeingia tayar na ningependa tukumbushane mawili matatu ili tujiweke tayari kukutana na hiyo siku ya Mwisho tukiwa tumeridhiwa na Mwenyezi Mungu.

Firdaus ndio pepo ya juu zaidi kuliko zote Kwa maana nyingine hii ndio pepo ambayo ni first class,na hii watairithi Mitume na Wacha Mungu.

Kwa taarifa yako Tu inasemekana zipo takribani daraja Mia Moja za pepo (100) na mkubwa wao ni huyo Firdaus.

Lakini cha kusikitisha zaidi pamoja na kuwepo hizo pepo zenye daraja takribani Mia Moja bado kuna watu hawatofanikiwa kuingia na matokeo yake wataingia motoni, Ewe Mwenyezi Mungu utujaalie tusiwe miongoni mwao Amiin.

Je watu wenye sifa gani ambao watairithi au kuingia katika hii pepo?

Kwa mujibu wa Qur'an watu wenye sifa hizi ndio ambao watairithi pepo hiyo;

WA Kwanza ni waumini ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,hawa ni Wale ambao wanapokuwa ndani ya sala basi mawazo Yao na fikra zao zote zinakuwa ndani ya ibada ya swala,hawa hakika wamefanikiwa,

lakini kuna baadhi yetu wawapo ndani ya swala basi wanajikuta wanawaza hiki na kile na mambo kibao yanatawala swala yake,ingawa ni vigumu Kwa asilimia Mia moja kutotoka kimawazo,lakini hata ukitoka basi iwe kidogo na mara moja ujikumbushe kuwa upo ndani ya swala na ujue unawasiliana moja Kwa moja na Mola wako.

Sifa ya pili ni ambao wanajiepusha na mambo ya kipuuzi

Sifa ya tatu,na ambao wanatoa zaka,hapa inaingia na sadaka pia,maana zaka ni sehemu ya sadaka. Kwahiyo hakika kutoa sadaka ni Jambo muhimu Sana na ni ibada ambayo ina faida kubwa Sana,kuna maradhi mengine unapona Kwa kutoa sadaka Tu,

Na sadaka ndio ibada ambayo mja ataikumbuka mara Tu atakapoanza kutokwa na roho, ataomba Ewe Mwenyezi Mungu naomba walau unipe nafasi kidogo niweze kutoa sadaka. Sasa usisubir mpaka wakati huo ufike huenda usipate huo Mda wa kutoa sadaka.

Sifa ya nne, ni ambao wanazilinda tupu zao, hapa ndio wale wanachama WA jukwaa la MMU wajitafakari vizuri Sana,maana Yale mambo ya kulana kimasihara basi ujue nawe utaikosa pepo kimasihara,wazee wa Michepuko hapa kazi kwenu,hapa inakatazwa Zinaa Kwa nguvu zote,kwahiyo tujitathimini Sana.

Sifa ya tano,ni Kwa wale ambao wanazitimiza Amana zao na ahadi zao,kuna watu Jambo la kuahidi wanalichukulia kimchezo mchezo Tu,tena hawa wanasiasa hawa mjue Mungu anawaona! Maana nyie Kwa kutupiga sound hamjambo basi endeleeni Tu kutupiga sound halafu muone huko kwa Mungu kama mtafanikiwa.

Hapa Napo Jambo la Amana limeingia pia,mtu amekupa Amana yake umuhifadhie basi fanya hivyo usiingie tamaa ya kuitumia Bila ridhaa au idhini yake.

Na sifa ya sita ni Wale ambao wanazihifadhi swala zao,inamaana ambao wanadumisha swala zao siku zote,maana kuna watu huwa wanaswali ijumaa mpaka ijumaa Tu,au idi mpaka idi Tu,au akiwa na shida basi yeye ndio utamuona anaswali na mambo yake yakiwa fresh Tu basi ndio nitolee na kuswali bye bye.

Hope sauti yangu imetosha na kusikika vizuri kabisa.

Ijumaa Mubaraka!

Ni hayo Tu!

Hiyo pepo ya firdaus ndo mahouri 72 na mito ya pombe au?
 
wale bikira 72 na kamto ka wine ni daraja la ngapi shehe?ili nisije nikachanganya
 
Ameuleta vema ili uwafikie na wale wa kulana kimasihara maana angeeka tu zile aya kumi za mwazo za suraht muuminun wala wasingeusoma kwan wao wanataka masihara nyakati zote

Asante sana mkuu Kwa andiko zuri. Naomba uendelee kufafanua sadaka na zaka. Jummah Kareem
 
Uzuri nikwamba mada nzuri kama hizi uwa hazina wachangiaji. Lakini ndiyo mambo ambayo mwanadamu anatakiwa ayasikie muda wote kwenye sikio lake.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na baraka akujalie hekima zaidi na baraka katika maisha yako.

Ahsante sana kwa maneno mazuri ya Mwenyezi Mungu.🙏

Ngoja kopostiwe kiti cha kopbavu utaona comment zikitiririka
 
Alhamdulillah ijumaa imeingia tayar na ningependa tukumbushane mawili matatu ili tujiweke tayari kukutana na hiyo siku ya Mwisho tukiwa tumeridhiwa na Mwenyezi Mungu.

Firdaus ndio pepo ya juu zaidi kuliko zote Kwa maana nyingine hii ndio pepo ambayo ni first class,na hii watairithi Mitume na Wacha Mungu.

Kwa taarifa yako Tu inasemekana zipo takribani daraja Mia Moja za pepo (100) na mkubwa wao ni huyo Firdaus.

Lakini cha kusikitisha zaidi pamoja na kuwepo hizo pepo zenye daraja takribani Mia Moja bado kuna watu hawatofanikiwa kuingia na matokeo yake wataingia motoni, Ewe Mwenyezi Mungu utujaalie tusiwe miongoni mwao Amiin.

Je watu wenye sifa gani ambao watairithi au kuingia katika hii pepo?

Kwa mujibu wa Qur'an watu wenye sifa hizi ndio ambao watairithi pepo hiyo;

WA Kwanza ni waumini ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,hawa ni Wale ambao wanapokuwa ndani ya sala basi mawazo Yao na fikra zao zote zinakuwa ndani ya ibada ya swala,hawa hakika wamefanikiwa,

lakini kuna baadhi yetu wawapo ndani ya swala basi wanajikuta wanawaza hiki na kile na mambo kibao yanatawala swala yake,ingawa ni vigumu Kwa asilimia Mia moja kutotoka kimawazo,lakini hata ukitoka basi iwe kidogo na mara moja ujikumbushe kuwa upo ndani ya swala na ujue unawasiliana moja Kwa moja na Mola wako.

Sifa ya pili ni ambao wanajiepusha na mambo ya kipuuzi

Sifa ya tatu,na ambao wanatoa zaka,hapa inaingia na sadaka pia,maana zaka ni sehemu ya sadaka. Kwahiyo hakika kutoa sadaka ni Jambo muhimu Sana na ni ibada ambayo ina faida kubwa Sana,kuna maradhi mengine unapona Kwa kutoa sadaka Tu,

Na sadaka ndio ibada ambayo mja ataikumbuka mara Tu atakapoanza kutokwa na roho, ataomba Ewe Mwenyezi Mungu naomba walau unipe nafasi kidogo niweze kutoa sadaka. Sasa usisubir mpaka wakati huo ufike huenda usipate huo Mda wa kutoa sadaka.

Sifa ya nne, ni ambao wanazilinda tupu zao, hapa ndio wale wanachama WA jukwaa la MMU wajitafakari vizuri Sana,maana Yale mambo ya kulana kimasihara basi ujue nawe utaikosa pepo kimasihara,wazee wa Michepuko hapa kazi kwenu,hapa inakatazwa Zinaa Kwa nguvu zote,kwahiyo tujitathimini Sana.

Sifa ya tano,ni Kwa wale ambao wanazitimiza Amana zao na ahadi zao,kuna watu Jambo la kuahidi wanalichukulia kimchezo mchezo Tu,tena hawa wanasiasa hawa mjue Mungu anawaona! Maana nyie Kwa kutupiga sound hamjambo basi endeleeni Tu kutupiga sound halafu muone huko kwa Mungu kama mtafanikiwa.

Hapa Napo Jambo la Amana limeingia pia,mtu amekupa Amana yake umuhifadhie basi fanya hivyo usiingie tamaa ya kuitumia Bila ridhaa au idhini yake.

Na sifa ya sita ni Wale ambao wanazihifadhi swala zao,inamaana ambao wanadumisha swala zao siku zote,maana kuna watu huwa wanaswali ijumaa mpaka ijumaa Tu,au idi mpaka idi Tu,au akiwa na shida basi yeye ndio utamuona anaswali na mambo yake yakiwa fresh Tu basi ndio nitolee na kuswali bye bye.

Hope sauti yangu imetosha na kusikika vizuri kabisa.

Ijumaa Mubaraka!

Ni hayo Tu!
Ukweli ni kwamba jambo kuu kwa binadamu yeyote kulifanya wakati wa maisha yake ni kumpenda Bwana Mungu Mwenyezi kwa moyo wote na kumpenda jirani kama nafsi yake. Mengine ni mambo ya kimwili tu na hayana maana sana.
 
Narudia na kuurudia huu uzi ni mzuri sana ma shaa allah,
Sikua nafahamu kua kuna madaraja mia moja subhanaAllah,
Allah tujalie tuwe miongoni mwa wenye kurithi pepo yako
Tujalie tuwe ni wenye kusimamisha swala na kudumu nazo na jaalia khushuu wakti wa swala zetu
Tujalie tuweze kuhifadhi tupu zetu isipokua kwa wanaotumiliki
Tupe kuona furaha pale tunapotoa sadaqa
"Hakika katika pepo kuna daraja mia moja ameziandaa allah kwaajili ya wenye kupigana katika njia ya allah, baina ya daraja mbili ni kama baina ya mbingu na ardhi".
الرسول عليه الصلاة والسلام
 
Alhamdulillah ijumaa imeingia tayar na ningependa tukumbushane mawili matatu ili tujiweke tayari kukutana na hiyo siku ya Mwisho tukiwa tumeridhiwa na Mwenyezi Mungu.

Firdaus ndio pepo ya juu zaidi kuliko zote Kwa maana nyingine hii ndio pepo ambayo ni first class,na hii watairithi Mitume na Wacha Mungu.

Kwa taarifa yako Tu inasemekana zipo takribani daraja Mia Moja za pepo (100) na mkubwa wao ni huyo Firdaus.

Lakini cha kusikitisha zaidi pamoja na kuwepo hizo pepo zenye daraja takribani Mia Moja bado kuna watu hawatofanikiwa kuingia na matokeo yake wataingia motoni, Ewe Mwenyezi Mungu utujaalie tusiwe miongoni mwao Amiin.

Je watu wenye sifa gani ambao watairithi au kuingia katika hii pepo?

Kwa mujibu wa Qur'an watu wenye sifa hizi ndio ambao watairithi pepo hiyo;

WA Kwanza ni waumini ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,hawa ni Wale ambao wanapokuwa ndani ya sala basi mawazo Yao na fikra zao zote zinakuwa ndani ya ibada ya swala,hawa hakika wamefanikiwa,

lakini kuna baadhi yetu wawapo ndani ya swala basi wanajikuta wanawaza hiki na kile na mambo kibao yanatawala swala yake,ingawa ni vigumu Kwa asilimia Mia moja kutotoka kimawazo,lakini hata ukitoka basi iwe kidogo na mara moja ujikumbushe kuwa upo ndani ya swala na ujue unawasiliana moja Kwa moja na Mola wako.

Sifa ya pili ni ambao wanajiepusha na mambo ya kipuuzi

Sifa ya tatu,na ambao wanatoa zaka,hapa inaingia na sadaka pia,maana zaka ni sehemu ya sadaka. Kwahiyo hakika kutoa sadaka ni Jambo muhimu Sana na ni ibada ambayo ina faida kubwa Sana,kuna maradhi mengine unapona Kwa kutoa sadaka Tu,

Na sadaka ndio ibada ambayo mja ataikumbuka mara Tu atakapoanza kutokwa na roho, ataomba Ewe Mwenyezi Mungu naomba walau unipe nafasi kidogo niweze kutoa sadaka. Sasa usisubir mpaka wakati huo ufike huenda usipate huo Mda wa kutoa sadaka.

Sifa ya nne, ni ambao wanazilinda tupu zao, hapa ndio wale wanachama WA jukwaa la MMU wajitafakari vizuri Sana,maana Yale mambo ya kulana kimasihara basi ujue nawe utaikosa pepo kimasihara,wazee wa Michepuko hapa kazi kwenu,hapa inakatazwa Zinaa Kwa nguvu zote,kwahiyo tujitathimini Sana.

Sifa ya tano,ni Kwa wale ambao wanazitimiza Amana zao na ahadi zao,kuna watu Jambo la kuahidi wanalichukulia kimchezo mchezo Tu,tena hawa wanasiasa hawa mjue Mungu anawaona! Maana nyie Kwa kutupiga sound hamjambo basi endeleeni Tu kutupiga sound halafu muone huko kwa Mungu kama mtafanikiwa.

Hapa Napo Jambo la Amana limeingia pia,mtu amekupa Amana yake umuhifadhie basi fanya hivyo usiingie tamaa ya kuitumia Bila ridhaa au idhini yake.

Na sifa ya sita ni Wale ambao wanazihifadhi swala zao,inamaana ambao wanadumisha swala zao siku zote,maana kuna watu huwa wanaswali ijumaa mpaka ijumaa Tu,au idi mpaka idi Tu,au akiwa na shida basi yeye ndio utamuona anaswali na mambo yake yakiwa fresh Tu basi ndio nitolee na kuswali bye bye.

Hope sauti yangu imetosha na kusikika vizuri kabisa.

Ijumaa Mubaraka!

Ni hayo Tu!
Hizi dini za michongo bila kutishana tishana mara kifo mara sijui kaburi..yani ni full vitisho.

Halafu mungu mbaguzi yani kaweka watu kwa mafungu mafungu..kwahiyo wale watakao pewa mabikra na mito ya pombe wao pepoyao namba ngapi.??

Inahitaji kujitoa akili kuamini hizi ngonjera.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila pepo ina Allah wake au Allah huyu huyu atakua anatembelea pepo zote kwa wakati tofauti
Kwani kila mkoa una rais wake? Au rais wa nchi ndie huwa wa mikoa yote?.
Firauni alikuwa mwenye kiburi zaidi ya wanaadamu wote, mwenye jeshi na nguvu mpaka leo makaazi yake yapo Egypt. Lakini muda wake wa kuishi ulipofika aliondoka, usiwe na kiburi ndugu kwenye imani.
 
Hizi dini za michongo bila kutishana tishana mara kifo mara sijui kaburi..yani ni full vitisho.

Halafu mungu mbaguzi yani kaweka watu kwa mafungu mafungu..kwahiyo wale watakao pewa mabikra na mito ya pombe wao pepoyao namba ngapi.??

Inahitaji kujitoa akili kuamini hizi ngonjera.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna aliyekutisha ,,wewe baki na msimamo wako na hulazimishwi na Wala hakuna wa kukushikia mtutu ila ukweli lazima usemwe,

,Allah amebainisha njia mbili tu eidha tushukuru au tukufuru..Kwamba Kuna Haki na batili,,pepo na Moto,,,wema na uovu, nk ... Kwhy kazi kwako kufuata utakacho na sisi hatuwezi kufuata wapotevu eti dini zililetwa na mashua na meli,,

Allah mtukuka anasema ..Enyi waumini msichanganye haki na batili na mkaiacha haki hali ya kuwa mnaijua...
 
Back
Top Bottom