Hawa ndiyo JF members wazee wa nongwa

okwi BOBAN SUNZU

Hii kolo inachekesha sana ......up to know imeukimbia uzi wake ule wa " Nani mkali kati ya KIBU DENIS VS MAYELE[emoji38][emoji38][emoji38]
Huo uzi ni mwiba Sana kwake hataki hata kuuona[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe hujasikia maneno ya hivi vilabu bado, siku ukupata muda pita kwenye makao makuu ya hivi vilabu viwili ukutane na wale wanazi wanaongea hao...
 
"Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe"


Mkuu hayo ni maneno yako nimenukuu kutoka kwenye uzi wako ule.
NALIA NGWENA unakifahamu Kiswahili vizuri?
Nakuwekea aya nzima ya nilichoandika

Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
 
Dah! Wazee wa nongwa ni hatari sana.
 
Hapa mnaongoza lakini maneno yanawatisha kweli. HEBU JIAMIMINI SOKA LA TANZANIA MWENZIE FUJO.
 
Bila shaka sasa hivi upo kwenye handaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…