Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu


acha bifu mkuu mimi nimeo hawa wadudu bila iyo siifs ulio isema-
 
Kwanini muafrica akioa muhind au muarabu nywele za mtoto zinakuwa za kiarabu tofaut na akizaa na mzungu nywele zinakuwa hazieleweki
 
Reactions: SDG
Baba yake abela music alioa mzungu mamake anaitwa mwesigwa kibira mtoto wa askofu wa kwanza mwafrica kkkt
 
Ulaya mashariki kuna njaa ndio maana wazee au vijana wengi wanaosoma huko walirudi na wake. Sababu ni kuwa hao wanawake wanawake wanajua wasomi wakirudi bongo maisha ni mazuri. Wengine walirydi nao wakakuta ndivyo sivyo wakakimbia kurudi makwao. Ni wachache sana wameoa wa Ulaya Magharibi labda wale vibonge aka rejects!
 
Kweli mkuu.
Kuna demu nilikuwa naye siku zilizopita, yaani alikuwa akiliongelea sana.

Alikuwa akiongea product ya mzungu na mwafrica(watoto) wanakuwa wazuri mno.

Mungu amsaidie sana japo hatukufanikiwa lengo letu.
mnaongelea uzuri gani? mbna sisi waafrika pia wazuri tu... inamaana watoto wa mange ni wazuri
 
Kaka hii ni miaka ya nyuma, sikuizi huko mashariki nao wapo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…