Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Hivi ni kwanini waafrika wanapo oa wazungu ni lazima hao wazungu wawe ma-rejects huko watokako? Kuna uhusiano gani mwaafrika kuoa mzungu aliye reject na uzuri? Sijawahi kuona mwanamke mzuri wa hawa wazee wetu, je....ilikuwa ni ngekewa tu ya kuoa mzungu ili aonekane wa maana au?

acha bifu mkuu mimi nimeo hawa wadudu bila iyo siifs ulio isema-
 
Kwanini muafrica akioa muhind au muarabu nywele za mtoto zinakuwa za kiarabu tofaut na akizaa na mzungu nywele zinakuwa hazieleweki
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Baba yake abela music alioa mzungu mamake anaitwa mwesigwa kibira mtoto wa askofu wa kwanza mwafrica kkkt
 
Ulaya mashariki kuna njaa ndio maana wazee au vijana wengi wanaosoma huko walirudi na wake. Sababu ni kuwa hao wanawake wanawake wanajua wasomi wakirudi bongo maisha ni mazuri. Wengine walirydi nao wakakuta ndivyo sivyo wakakimbia kurudi makwao. Ni wachache sana wameoa wa Ulaya Magharibi labda wale vibonge aka rejects!
 

Attachments

  • jennipher.jpg
    jennipher.jpg
    35.6 KB · Views: 68
Kweli mkuu.
Kuna demu nilikuwa naye siku zilizopita, yaani alikuwa akiliongelea sana.

Alikuwa akiongea product ya mzungu na mwafrica(watoto) wanakuwa wazuri mno.

Mungu amsaidie sana japo hatukufanikiwa lengo letu.
mnaongelea uzuri gani? mbna sisi waafrika pia wazuri tu... inamaana watoto wa mange ni wazuri
 
Ulaya mashariki kuna njaa ndio maana wazee au vijana wengi wanaosoma huko walirudi na wake. Sababu ni kuwa hao wanawake wanawake wanajua wasomi wakirudi bongo maisha ni mazuri.

Wengine walirydi nao wakakuta ndivyo sivyo wakakimbia kurudi makwao. Ni wachache sana wameoa wa Ulaya magharibi labda wale vibonge aka rejects!
Kaka hii ni miaka ya nyuma, sikuizi huko mashariki nao wapo vizuri.
 
Back
Top Bottom