Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka.
Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti wanapomsalimia kila mwanaume bila kujali hali na hadhi yake.
Angalia huyu jamaa anavyo-enjoy heshima ya kupewa salaam kwa kupigiwa magoti na wanawake wawili kwa mpigo. Halafu wala haringi.
Ukioa ktk vijiji vya mikoa hii, nakuthibitishia kuwa migogoro ya ndoa utaisikia kwa jirani na kuisoma mitandaoni tu.