Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

hayo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo tu. hao wanawake huwa wanabadilika kutokana na mazingira, kaskilize wimbo wa prof jize-nikusaidiaje, ndio utaelewa.
 
Sasa hv hakuna tofauti ya wakjjn wala mjn kwani elimu na utandawazi vimeharibu kila kitu.

Ukifika wakati wewe jibebee kwa vigezo unavyotaka ila kwenye tabia usijiaminishe sana.

Hali ni mbaya kwenu vijana
Chai
 
These sort of women turn the households into political arena with endless arguments
I hate the idea mtu anakuketea malumbao yasiyo na maana na bado anakutegemea. Feminists are busy bragging how stable they are without mens, yet deep inside utakuta anamtegemea mwanaume mjinga flan a finance her basics needs.
 
Mwalala uli...asante karesaa asante mkwai...TUTENZI TA.......😍😍😍😍
Hata unapompenyezea hulia kwa adabu na kuongeza mshawasha.....anyway nisha acha uhuni
 
Una affinity na ushirikina?
 
Jichanganye labda hauajui wasukuma vizuri w ewe kuna mashine inaitwa wanyantuzu usiombe dadeki
 
Feminist attitude mwanaume lazima anihudumie nikimwonaga mwanamke wa hiyo I see her as a trush
 
Si umeona juzi vigogo wawili wamekata moto mfululizo.....uki dig inside utakuta ni stress za ndoa.
 
Feminist attitude mwanaume lazima anihudumie nikimwonaga mwanamke wa hiyo I see her as a trush
Yaani wewe ni mimi mtupuuuu....

Kuna vikauli flani hivi feminists huwa wanavitoa huwa vinanifanya nihisi kutapika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…