Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Kuna huyu pia, akijíita bwana mkubwa, na wimbo wake wa 'sista du unataka kuja home', mpaki na haujatulia ft dully sykes, roho saba na 'waite polisi' fina mango 'shoga' ocg 'akwelina', babulee 'kizizi', maliki 'ni mzuri', pigblack 'nini mnataka mazee',chelea man' msela' ofcoarse walitoa visingle viwili vichache, walipohitajika zaidi walipotea
 
Pigblack sasa anajiita BIGBLACK
 
Mkuu umunikumbusha mbali aise kama kwenye database yako una nyimbo ya b boy 'sina demu' hebu niwekee apa niipakue, then ukipata zuena ya Mr Paul, demu wako suma g, na nyimbo flani hivi skumbuki ni nan ila kuna maneno flani hivi 'umesahau yotee tuliyofanya janaaaa' ilikuwa in a pigwa sana clouds, RFA na radio one miaka ya 2005 minus
 
Wateule - jay moe, solo, simba, jafarai
Hbc - prof Jay, wille, fanani

Wimbo wa boss, jahazi ni za ferooz

Mkiwa ni wimbo wa k-sal kamshilikisha ferooz

East coast hawakuwahi kuwa na wimbo wa pamoja huo ni wimbo wa gk kawashilikisha east coast
 
Wateule - jay moe, solo, simba, jafarai
Hbc - prof Jay, wille, fanani

Wimbo wa boss, jahazi ni za ferooz

Mkiwa ni wimbo wa k-sal kamshilikisha ferooz

East coast hawakuwahi kuwa na wimbo wa pamoja huo ni wimbo wa gk kawashilikisha east coast
Wateule - jay moe, solo, jaffarai, mchizi mox
 
Prof J alikuwa Wateule? Acha kupotosha mkuu...
 
Kwenye hiyo list watoe Da Joh, Flesh P na B boy....
Hawa walivuma tu na sio kuvuma sana kama unavyotaka kuaminisha watu humu...
Alafu unaposema kusanda sijui una maana gani...
Je ulitaka wafanye muziki mpaka lini? Kama walipata shughuli nyingine za kufanya inatosha kusema walisanda...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…