Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Kuna vijana wawili kutoka tanga walitoa nyimbo mbili tu mwaka 2007 wakapotea kimoja.
1hip hop inauza ilikuwa dis kwenye wimbo wa Madee hip hop hailipi
2 Nagusa tu ulikuwa na melody tamu sana
Sikumbuki jina la kundi liliitwaje
 
Kuna ile nyimbo moja ilivuma sana miaka ya 2002. Nakuhuitaji, mpenzi wangu nakuhitaji. Angwisa, kisanga wangungule, angwisa. Aliimba mwanadada na jamaa flani hivi, sijui saiv wapo wapi
 
K sal ft Ferooz Ningeweza writen by somebody faza p kama skosei mshkaji aliandika nyimbo kali sana za kipindi hicho ikiwemo Dunia mapito na Selina ya Alicom.
 
Hata kama mnyalu ninasikika kwenye CD hata kama mnyalu ninaonekana kwenye tv ii na sintobadilika.

Hata kama ninaish Daresalama wanyalu siwezi kubadilika hata kama nina demu wa kieshia wakibongo siwez kumbwaga. Tuimbe sote sitobadilka tuimbe tusitobadilika tuimbe sote sitobadilika nanaa


Bwana misosi nitoke vipi


Mtazamo prod j fet solothang na afande sele


D knob elimu mtaani
 
Mtazamo... afande sele ft solo thang & prof. J.
 
Rangi yako kama chungwa eee,,inayofanya mpaka Mimi nipagaweeeee......( nani aliimba)


Halafu kuna Vumilia( utanikumbuka kwa sema niliokutendea,,japo hutambuiii umuhimu waaaanguuuu)
 
Rangi yako kama chungwa eee,,inayofanya mpaka Mimi nipagaweeeee......( nani aliimba)


Halafu kuna Vumilia( utanikumbuka kwa sema niliokutendea,,japo hutambuiii umuhimu waaaanguuuu)
Hiyo anaitwa Ninachotaka aliimba Ismail...
 
SOLID GROUND FAMILY
solid Ground Family.jpg
 
Back
Top Bottom