Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

1.View attachment 803829
Mshana Jr

2.View attachment 803830
GuDume

3.View attachment 803832
Mr Miller

4.View attachment 803833
Hazard fc

5.View attachment 803834
Humble African

Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za Mwananyamala koma koma.


Demiss Malaikaa.
Mh aisee tutake radhi we Demiss usijidai kwa kuwa mke wa mganga aisee maana nadhani unafahamu kuwa mganga nae ana mganga wake so sio ututusi kiasi hicho "Eti sura ngumu kama Chochoro za Mwananyamala" Dah yaani umekuwa na upendeleo km Jiwe kisa Mshana wako basi umegoogle picha nzuri na kumbatiza yeye wkt ukweli hayuko hivyo,Aisee the world isn't fair no more.
 
Ndicho alichofanya mengi hata Kwa kuchelewa lakini kavuta miss Tanzania ndani...mtoto mkaaaali! Sasa hivi mzee wa watu anabinuka na yule mtoto mzuri kinyantuzu tena chumbani...! Wale hoehae wanamtia kwenye viganja vyao tu. [emoji23]

Kavurumusha mapacha ma HB..hana lawama tena kwa madogo, kawapa Uhb kirahisi sana.

Kwa Dada zangu una hela mkuu? Au ndio tia maji tia maji?
Umetishaaaa sanaaaa
 
Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile. Nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident mno. [emoji23] [emoji23]

Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii alipiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?

But I'm humbled!
Nimecheka kwa sauti hapo kwenye bold.... Na mtoto wao je...!??
 
Back
Top Bottom