Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huitakii mema piemu yangu...[emoji23] [emoji23]Handsome wanguuu wewe na Jolie Jolie
Kumbe tunaofanyiwa hv na Shunie tupo wengi![emoji23] [emoji23] shunie katukataa wazi wazi
[emoji39] [emoji39] [emoji39] sawa ngoja tule tu kwa machoSanaa unafaaa kwa matumizi
te..teh... hebu we fikiria wanaume waliojua kupaka mafuta ukubwani achilia mbali walikuwa wanacheza mechi jezi ni kwa wengine kubaki kifua wazi, wamesoma shule kama wanaenda jeshini yaani wanabeba mfagio ,jembe,kidumu cha maji,kuni ya chai ya ofisi ya waalimu daftari na hela ya ufuta wa mwalimu ndo wawe hivyo? hayo mazoezi wanayofanya kutengeneza mwili wanazuga tu ndo maisha yao yalikuwa hivyo hapo washatembea km7 kutafuta shule na bado mchana wanakula kwao na darasani hawachelewi kila mmoja anakiringi chake ndo kama gari baskeli watoe wapi? masharti ya shule ukibahatika ni la cream nyeupe ilishaondoka kama unabisha waulize? sasa watafananaje namna hiyo si unawazalilisha tu!Umesema wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilkuona instagram unafanana kabisa na salahView attachment 803907