Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

GuDume umekuwa ukitamaniwa na huyu shem wako kwa muda sasa,chukua hatua sasa!!.....na wewe ni mtaalam wa haya masuala, please usiniangushe!!
Khaaaaa ila wewe?Naanzaje kumtamani tena Gudume wakat mm nina mtu tayar
 
Kama wao wenyewe watakuwa na sura za mbuzi, Hakika hili utakuwa umewatusi na hawata jiamini tena.
 
Umesema wewe
te..teh... hebu we fikiria wanaume waliojua kupaka mafuta ukubwani achilia mbali walikuwa wanacheza mechi jezi ni kwa wengine kubaki kifua wazi, wamesoma shule kama wanaenda jeshini yaani wanabeba mfagio ,jembe,kidumu cha maji,kuni ya chai ya ofisi ya waalimu daftari na hela ya ufuta wa mwalimu ndo wawe hivyo? hayo mazoezi wanayofanya kutengeneza mwili wanazuga tu ndo maisha yao yalikuwa hivyo hapo washatembea km7 kutafuta shule na bado mchana wanakula kwao na darasani hawachelewi kila mmoja anakiringi chake ndo kama gari baskeli watoe wapi? masharti ya shule ukibahatika ni la cream nyeupe ilishaondoka kama unabisha waulize? sasa watafananaje namna hiyo si unawazalilisha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…