Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Huwa namkubali sana dingi anasema hadi ukoo wa Rupaebalila wabaniani hawa aliwatimbia anataka kuchanganya damu. Kwenye hatua za mwisho kabisa wakatokea mbavuni...Ahahaha!

Nina bahati mbaya home Mimi ndio only boy waliobaki kama sita wote girls...Mimi nlikuwaga nawaona kama mbuzi but masela wakija home wananiambia mwanangu Sista ako yule tall ni mkali sana ...nawaona kama wananipigia kelele tu maana Mimi nawaona kama ng'ombe tu. Sijui kwanini hii inatokeaga hii?

Nilipokuwaga na miaka around 8 hadi 12 ukiniambia unaempenda Dada angu nakumind yaani nilikuwa naimagine kama ndo ushapumua nae tayari Kwenye ubed. Nilipokua nikagundua I was such a fool.

Occasionally, nimekula hela za madomo zege sana nilipojielewa.

Ila ni stress sana kukua na madada wakali same home.
Aseeeh nimefurahi sanaaa wallah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnywe hivyohivyo
Khaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi mzigua
 
mkuu na mimi nina huo mpango wa kusaka kamrembo matata ili nichanganye rangi, nasaka mahela kwanza si unajua tena watoto kama dada zako ,


japo ni hatari lakini ni faida kwa wanangu, watajua wakiwa wa kubwa kwa baba yao nlioa mtoto mzuri,,

hakuna kuogopa et oooh utachapiwa,, wacha wachape tuu, mi nazarisha tuuuuu[emoji23]
Ndicho alichofanya mengi hata Kwa kuchelewa lakini kavuta miss Tanzania ndani...mtoto mkaaaali! Sasa hivi mzee wa watu anabinuka na yule mtoto mzuri kinyantuzu chumbani tu...! Wale hoehae wanamtia mtoto mzuri kwenye viganja vyao tu na sabuni ya geisha.. [emoji23]

Kavurumusha mapacha ma HB..hana lawama tena kwa madogo, kawapa Uhb kirahisi sana.

Kwa Dada zangu una hela mkuu? Au ndio tia maji tia maji?
 
Last edited:
Back
Top Bottom