Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile. Nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident sana. [emoji23] [emoji23]

Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii kupiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?

But I'm humbled!

hahaha kanisahau pitia uzi wangu utoe mawaz yako
 
Wakati baba angu anaangaika kutafuta mahari za kumuoa mtoto mzuri, mrembo mwenye sura kama mercy galabawa ili azae watoto wazuri baba zao walikuwa vilabuni wanang'ang'ana na akina mwajuma ndala ndefu matokeo yake sura zinakuwa chachu wanamlaumu demiss.

Ahahaha!! Baba aliwahi kuniambia alishawai kuchumbia hadi kwa Wahindi miaka hiyo wakamtolea wakikariri ni nyani ila no sweti he didn't give up at last akamdaka mnyange mother.

Good job my Dad. [emoji23]
Hahahajajajaj kweli kabisa baba akiwa mbaya lazima aoe mtoto mrembooo kwa kweli.
Mm mbaya lazima niolewe na handsome maisha kutegemeana
 
Huwa namkubali sana dingi anasema hadi ukoo wa Rupaebalila wabaniani hawa aliwatimbia anataka kuchanganya damu. Kwenye hatua za mwisho kabisa wakatokea mbavuni...Ahahaha!

Nina bahati mbaya home Mimi ndio only boy waliobaki kama sita wote girls...Mimi nlikuwaga nawaona kama mbuzi but masela wakija home wananiambia mwanangu Sista ako yule tall ni mkali sana ...nawaona kama wananipigia kelele tu maana Mimi nawaona kama ng'ombe tu. Sijui kwanini hii inatokeaga hii?

Nilipokuwaga na miaka around 8 hadi 12 ukiniambia unaempenda Dada angu nakumind yaani nilikuwa naimagine kama ndo ushapumua nae tayari Kwenye ubed.

Occasionally, nimekula hela za madomo zege sana nilipojielewa.

Ila ni stress sana kukua na madada wakali same home.
mkuu na mimi nina huo mpango wa kusaka kamrembo matata ili nichanganye rangi, nasaka mahela kwanza si unajua tena watoto kama dada zako ,


japo ni hatari lakini ni faida kwa wanangu, watajua wakiwa wa kubwa kwa baba yao nlioa mtoto mzuri,,

hakuna kuogopa et oooh utachapiwa,, wacha wachape tuu, mi nazarisha tuuuuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom