Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile. Nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident sana. [emoji23] [emoji23]
Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii kupiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?
But I'm humbled!
hahaha kanisahau pitia uzi wangu utoe mawaz yako