Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

te..teh... hebu we fikiria wanaume waliojua kupaka mafuta ukubwani achilia mbali walikuwa wanacheza mechi jezi ni kwa wengine kubaki kifua wazi, wamesoma shule kama wanaenda jeshini yaani wanabeba mfagio ,jembe,kidumu cha maji,kuni ya chai ya ofisi ya waalimu daftari na hela ya ufuta wa mwalimu ndo wawe hivyo? hayo mazoezi wanayofanya kutengeneza mwili wanazuga tu ndo maisha yao yalikuwa hivyo hapo washatembea km7 kutafuta shule na bado mchana wanakula kwao na darasani hawachelewi kila mmoja anakiringi chake ndo kama gari baskeli watoe wapi? masharti ya shule ukibahatika ni la cream nyeupe ilishaondoka kama unabisha waulize? sasa watafananaje namna hiyo si unawazalilisha tu!
Wewe wasema mm naongea nao face 2 face
 
Aiseeeee jamani mbona sijafanya chochote mme wangu Mshana ni hansahaaamy nan sasa amuone hanshaaamy kama siyo mimi
Mumeo yupo kwenye avatar yake na miwani yake bila shaka anaonekana kibonge na huwa hakosi kubeba mkoba begani sasa tunashangaa unatuletea huyo bwana mdogo wkt babu mashavu yashaanza kuomba poo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,Yaani najicheki hapo kwenye Avatar kila mara bado siamini mi siyo handsome!
[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekuzooom haki nimecheka sana
 
Nitakutumia pm fungua hilo solex kwanza
Leo ni ijumaa..kwa sasa Niko kaunta napiga vitu...wee tuma tu nikifika home nitakufungulia...usihofu...nikiwasili tu home solex inajifungua yenyewe.
 
Back
Top Bottom