Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Leo ni ijumaa..kwa sasa Niko kaunta napiga vitu...wee tuma tu nikifika home nitakufungulia...usihofu...nikiwasili tu home solex inajifungua yenyewe.
Nasubiri ifunguke kwanzaaa
 
Hahahah wamekufanyaje tena nao tuwachambeeee
Wajinga sana Vodacom wanatoa Free photo Instagram ...sasa ule upuuzi unafanya simu yangu inagoma kufungua insta kila nkifungua Naambiwa Instagram has stopped...... Nikitumia data ya airtel mambo ni motoo ....nimewaambia waniondoe kwenye ofa yao ya kijinga sina shida nayo Mimi .....GB nnazoweka zinatosha haswaa kuperuzi mitandaoni ...hawataki kuniondoa ...wiki nzima nawabembeleza tuuuuuu nachukia sana
 
Back
Top Bottom